Rais Magufuli awaapisha wajumbe wa kamati ya uchunguzi wa mchanga wa madini

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
frt.png

Rais Dkt Magufuli awaapisha wajumbe wa kamati ya pili ya uchunguzi wa madini yaliyomo kwenye mchanga ndani ya makontena mbalimbali.

fr.png

Hapa akipokea toka kwa Mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU Kamishna Valentino Mlowola Taarifa ya Utendaji.

FD.png

Rais Dkt. John Magufuli akimsikiliza Mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU Kamishna Valentino Mlowola akitoa muhtasari wa Taarifa ya Utendaji
 
Nasikitika sana ningetegemea tume ya kuchunguza watekaji na kuhusu vyeti vya basheti ikiapishwa sasa ni Mchanga tena. Oooooh my God
 
Kasomeni MATHAYO MTAKATIFU mlango wa 5 : 33-37 halafu mlete mrejesho hapa
Mathayo 5:33-37
[33]Tena mmesikia watu wa kale walivyoambiwa, Usiape uongo, ila mtimizie Bwana nyapo zako;
[34]lakini mimi nawaambia, Usiape kabisa; hata kwa mbingu, kwa maana ndicho kiti cha enzi cha Mungu;
[35]wala kwa nchi, kwa maana ndiyo pa kuwekea miguu yake; wala kwa Yerusalemu, kwa maana ndio mji wa Mfalme mkuu.
[36]Wala usiape kwa kichwa chako, maana huwezi kufanya unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi.
[37]Bali maneno yenu yawe Ndiyo, ndiyo; Siyo, siyo; kwa kuwa yazidiyo hayo yatoka kwa yule mwovu.
 
Baada ya hapo ataunda kamati ya kujumuisha matokeo ya kamati zote mbili

"Serikali yangu si ya mchakato" huu ni nini?

Kamati zenyewe hazihusishi wadau wa madini na uchakataji mchanga,zimejaa watu waliotoka madarasani na kuendesha kesi za mauaji ya albino,wapi na wapi na Dhahabu.

Mzungu katulia tu anaandaa mpambano wake.

Yaani usaini mkataba, mkataba utekelezwe kwa miaka 20 na marais wawili bila ubishi,eti leo unde kamati
 
Mathayo 5:33-37
[33]Tena mmesikia watu wa kale walivyoambiwa, Usiape uongo, ila mtimizie Bwana nyapo zako;
[34]lakini mimi nawaambia, Usiape kabisa; hata kwa mbingu, kwa maana ndicho kiti cha enzi cha Mungu;
[35]wala kwa nchi, kwa maana ndiyo pa kuwekea miguu yake; wala kwa Yerusalemu, kwa maana ndio mji wa Mfalme mkuu.
[36]Wala usiape kwa kichwa chako, maana huwezi kufanya unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi.
[37]Bali maneno yenu yawe Ndiyo, ndiyo; Siyo, siyo; kwa kuwa yazidiyo hayo yatoka kwa yule mwovu.
Watu wote tuseme
Amen
 
Hii ya ufanisi wa awamu ya tano kwa kweli sina,ila nataka nikasome diploma ya utekaji maana naona demand imeongezeka,waweza nielekeza chuo?!
Chuo kipo ambacho wanateka na kumaliza kabisa, chuo cha utekaji na kuhojiwa na kurudishwa sikijui
 
Tuweke maslahi ya nchi yetu mbele!
Pia repoti itangazwe hadharani ili wananchi wote tujue ukweli wa Jambo hilo
 
Mathayo 5:33-37
[33]Tena mmesikia watu wa kale walivyoambiwa, Usiape uongo, ila mtimizie Bwana nyapo zako;
[34]lakini mimi nawaambia, Usiape kabisa; hata kwa mbingu, kwa maana ndicho kiti cha enzi cha Mungu;
[35]wala kwa nchi, kwa maana ndiyo pa kuwekea miguu yake; wala kwa Yerusalemu, kwa maana ndio mji wa Mfalme mkuu.
[36]Wala usiape kwa kichwa chako, maana huwezi kufanya unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi.
[37]Bali maneno yenu yawe Ndiyo, ndiyo; Siyo, siyo; kwa kuwa yazidiyo hayo yatoka kwa yule mwovu.
Yaani mimi huwa najiuliza watu hatuna hofu ya Mungu? Manake tushaambiwa tusiape tena kibaya zaidi unakuta mtu kashika BIBLIA TAKATIFU AU QURAN TUKUFU unaapa ilhali ukijua umepitia njia zisizosawa kufika hapo ulipo halafu tutarajie Baraka thubutuuu tutazungukia hapo kama vile wale wana wa israel walivyotumia miaka elfu kuifikia kaanani mpaka pale tutakapo tubu na kuacha kuapa kama alivyoagiza
Watu wote tuseme
Amen
 
Back
Top Bottom