Rais Magufuli awaapisha Makatibu Tawaka wa Mikoa 10

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
1.JUMANNE ABDALLAH SAGINI-1.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Jumanne Abdallah Sagini kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewaapisha Makatibu Tawala wapya kumi aliowateua tarehe 25 Aprili, 2016 na kuwapangia vituo vyao vya kazi.

Makatibu Tawala hao wameapishwa leo tarehe 27 Aprili, 2016 Ikulu Jijini Dar es salaam na kisha wametia saini hati ya ahadi ya uadilifu kwa viongozi wa umma, zoezi lililoendeshwa na Kamishna wa maadili Sekreatieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Mheshimiwa Jaji Salome Kaganda na kushuhudiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.

Makatibu Tawala walioapishwa ni;
1. Arusha - Richard Kwitega
2. Geita - Selestine Muhochi Gesimba
3. Kagera - Armatus C. Msole
4. Kilimanjaro - Eng. Aisha Amour
5. Pwani - Zuberi Mhina Samataba
6. Shinyanga - Albert Gabriel Msovela
7. Singida - Dr. Angelina Mageni Lutambi
8. Simiyu - Jumanne Abdallah Sagini
9. Tabora - Dkt. Thea Medard Ntara
10. Tanga - Eng. Zena Said

Makatibu Tawala wengine wa Mikoa ambao hawakuapishwa leo, ni wale waliohamishwa vituo vya kazi na wale waliobaki katika vituo vya kazi walivyokuwep,o ambao tayari walishakula kiapo cha kuwa Katibu Tawala wa Mkoa.

Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Dar es salaam
27 Aprili, 2016
 
Hivi suala ni ku balance dini au kuangalia weledi na uadilifu?
kwa sababu nchi yetu tupo christian na islam tunakaribiana kwa uwiano ni vizuri angalau kabalance kwa asilimia fulani ili kuondoa hisia tofauti kati yetu kwani akiweka islam watupu christian watalalamika na akiweka christian watupu islam watalalamika pia, lakini kuzingatia weledi na uadilifu ni muhimu. pole kama takukwaza
 
Wasio na dini wako upande gani?
 
SAGIJI
View attachment 342728
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Jumanne Abdallah Sagini kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewaapisha Makatibu Tawala wapya kumi aliowateua tarehe 25 Aprili, 2016 na kuwapangia vituo vyao vya kazi.

Makatibu Tawala hao wameapishwa leo tarehe 27 Aprili, 2016 Ikulu Jijini Dar es salaam na kisha wametia saini hati ya ahadi ya uadilifu kwa viongozi wa umma, zoezi lililoendeshwa na Kamishna wa maadili Sekreatieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Mheshimiwa Jaji Salome Kaganda na kushuhudiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.

Makatibu Tawala walioapishwa ni;
1. Arusha - Richard Kwitega
2. Geita - Selestine Muhochi Gesimba
3. Kagera - Armatus C. Msole
4. Kilimanjaro - Eng. Aisha Amour
5. Pwani - Zuberi Mhina Samataba
6. Shinyanga - Albert Gabriel Msovela
7. Singida - Dr. Angelina Mageni Lutambi
8. Simiyu - Jumanne Abdallah Sagini
9. Tabora - Dkt. Thea Medard Ntara
10. Tanga - Eng. Zena Said

Makatibu Tawala wengine wa Mikoa ambao hawakuapishwa leo, ni wale waliohamishwa vituo vya kazi na wale waliobaki katika vituo vya kazi walivyokuwep,o ambao tayari walishakula kiapo cha kuwa Katibu Tawala wa Mkoa.

Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Dar es salaam
27 Aprili, 2016

View attachment 342728
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Jumanne Abdallah Sagini kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewaapisha Makatibu Tawala wapya kumi aliowateua tarehe 25 Aprili, 2016 na kuwapangia vituo vyao vya kazi.

Makatibu Tawala hao wameapishwa leo tarehe 27 Aprili, 2016 Ikulu Jijini Dar es salaam na kisha wametia saini hati ya ahadi ya uadilifu kwa viongozi wa umma, zoezi lililoendeshwa na Kamishna wa maadili Sekreatieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Mheshimiwa Jaji Salome Kaganda na kushuhudiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.

Makatibu Tawala walioapishwa ni;
1. Arusha - Richard Kwitega
2. Geita - Selestine Muhochi Gesimba
3. Kagera - Armatus C. Msole
4. Kilimanjaro - Eng. Aisha Amour
5. Pwani - Zuberi Mhina Samataba
6. Shinyanga - Albert Gabriel Msovela
7. Singida - Dr. Angelina Mageni Lutambi
8. Simiyu - Jumanne Abdallah Sagini
9. Tabora - Dkt. Thea Medard Ntara
10. Tanga - Eng. Zena Said

Makatibu Tawala wengine wa Mikoa ambao hawakuapishwa leo, ni wale waliohamishwa vituo vya kazi na wale waliobaki katika vituo vya kazi walivyokuwep,o ambao tayari walishakula kiapo cha kuwa Katibu Tawala wa Mkoa.

Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Dar es salaam
27 Aprili, 2016

NASIKI SAGINI NI MPIGANJI MZURI AKA FISADI ILA NAONA MAGUFRI KAMHUHURUMIA BAADA YAKUTUBU
 
Watu wapewe madaraka kwa uwezo wao na siyo kwa msingi ya Udini, Ukabila, Ukanda, itikadi, jinsi na wala rangi yao.
Mtu anayeteuliwa ana uwezo? Vinginevyo vigezo vya utendeji vitamtema.
 
Back
Top Bottom