Rais Magufuli aunda kamati ya pili kuchunguza madini yaliyopo kwenye mchanga, kuapishwa kesho

Naomba kuuliza kiroho safi tu. Hivi Waislam wamemkosea nini Huyu bwana. Note: Mimi ni Mkristo.
 
Hivi huko vyuoni wadogo zetu watafundishwa na nani ...nahisi kama vile amebaki Dr. Bana pekee!
Wewe usiwe wa ajabu.Kuwa mjumbe wa tume hakumwondolei mtu ajira au kazi zake.Unadhani waadhiri hufanya kazi ya kufundisha darasani tu? Fahamu kuwa taasisi za elimu ya juu ni pamoja consultation centres, research centres n.k
 
Bavicha wengi man akili kiduchu.Hausomi ukaelewa lakini kiherehere cha kuchangia hii.
 
Kweli aseee tumechoka na hao Dr na Prof isipokuwa Dr Banna pekee naona walipishana na mfalme!! Tuechoka sana na tumemchoka sizonje na first lady wa taifa bashite
 
Kweli aseee tumechoka na hao Dr na Prof isipokuwa Dr Banna pekee naona walipishana na mfalme!! Tuechoka sana na tumemchoka sizonje na first lady wa taifa bashite
Aisee..., ila tumia neno umechoka sio tumechoka. Acha kuchosha wasiochoka!
 
Isome uzuri ile barua kutoka ikulu ndugu ungejua nini ukoment
Hapo ndo upate picha halisi ya hawa watu wanajiita bavicha, hawasomi wakaelewa, wanachangia vitu hata hawajui.

Wengine hawasomi hata thread mama kujua inahusu nini bali anaanzia pale anapokutana na comments za bavicha mwenzake
 
Well said
 
Binafsi naona ni kupoteza fedha na muda tu, miaka yote hiyo mlikuwa wapi? Siasa hizi acha tu.
 
Masikini huyu mtu anatapatapa, na mimi navyojua majibu ya hii tume yatakuja kama matokeo ya Faru John.
 
Huyu ni mwendo wa teua tengua, wakati aliopita alikuwa yeye na tume zisizo na majibu.
*Dah! Wabongo hatujambo kwa kuwatafutia ulaji makada walokosa teuzi*
 
kwahiyo kamati ya kwanza imetenguliwa au?

nafikiri baada ya hapo itaundwa kamati ya 3 itakayoundwa na po-leece, taah-kuukuu-ru, kisha itaundwa tume kufanya uhakiki wa kamati zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…