Mradi u!esainiwa juzi tu kipindi chake vilevile kuna !mambo kafanya mfano kufufua atclhivi mradi huu ulianza kwa kikwete au kwake? lipi jipya la kwake amelifanya zaidi ya hostel za udsm 20 kwa bilioni 10 tunapotakiwa kuwapeleka watoto wetu wakalale hapo wakati watoto wao hawawapeleki pale bali ulaya? na imebaki only two years, ataonyesha nini? makontena ya mchanga?
Baada ya kupiga kona pale Chato kwanini isinyoke kwenda Shinyanga moja kwa moja Tanga badala ya kushuka chini then ikarudi juu tena
tumpongeze kwa kweli. ila nakumbuka kuna kipindi kikwete hadi alienda ufaransa kurobi huu mradi kama sikosei, na tulipambana sana na wakenya kipindi cha kikwete. OK, Mungu amsaidie rais wetu.Mradi u!esainiwa juzi tu kipindi chake vilevile kuna !mambo kafanya mfano kufufua atcl
Kiukweli rais anafanya kazi kubwa tu.cha msingi nikumuunga mkono Kwa kufanya kazi na kutumia fursa zinazojitokezatumpongeze kwa kweli. ila nakumbuka kuna kipindi kikwete hadi alienda ufaransa kurobi huu mradi kama sikosei, na tulipambana sana na wakenya kipindi cha kikwete. OK, Mungu amsaidie rais wetu.
Au akiulizwa kwa nini nchi imeshitakiwa London na ACACIA, utasikia, "yale yaCCChomekwagwa, ameijomega keng'e kikhabu". Yaani hapo utaelewa kama maharage ni mboga au ni zao la biashara za makinikia
Wee bwana wee unataka yaanze kutamkwa mambo ya "ameijobeka kwenye kigabu" si itakua shida?
Katika Twitter inabidi ubane maneno. Kwa kawaida kiwango ni herufi 140 tu, kwa hiyo sidhani hilo ni tatizo.Rais anaandika "ktk" badala ya "katika" inaudhi sana
Tunalipwa per barrel zitakazopitishwa, hivyo wakapitisha barrel 100 then waka under-declare na kusema wamepitisha 10 maana yake wametuibia. Pia mchango wetu si ardhi tu, ni zaidi, hii nchi ina amani inayolindwa kwa gharama kubwa sana, hivi tungekuwa kama Somali hilo bomba lingepitishwa?!, hii amani ni lazima wailipie kwani mishahara ya wanajeshi na polisi tunaigharamia mno! Hii nchi ina administrative costs (kuendesha serikali), bila hii serikali wangeingia mkataba na mtz mmoja mmoja au miti? Ni lazima wagharamie cost za ku-admnister hiyo mikataba. Think bigKuibiwa nini?Ardhi tu ndio mchango wetu ambayo watu watalipwa fidia mafuta ni ya Waganda!
Hicho kijiba cha roho kitakumaliza kama hautakitoa!
Hata likipita kolomije yote sawa kwani yote ni TanzaniaIvi haupitii chato kweli??!
mkuu hii ni lugha ya kule kunakoanzia bomba la mafutaMkuu lugha gani hii shukrani