Rais Magufuli atimiza wiki moja Chamwino

Midimay

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2015
Posts
3,086
Reaction score
5,142
Ili kuthibitisha dhamira ya kuhamia Dodoma, Mhe. Rais wa JMT ameweza kukaa Ikulu ya Chamwino kwa muda wa juma moja sasa. Rais ameonyesha kwamba anayafurahia maisha ya Dodoma. Ikulu ya Magogoni, sasa ni Ikulu ndogo. Hongera sana Mh. Rais kwa kuamua kutawanya shughuli za huduma na hivyo kusaidia kutawanya uchumi wa nchi.
 
Huku ni kushabikia ujinga.hujiulizi hawa mawaziri wanaoshinikiza wahamie huko bajeti ya kuhamia ilipitishwa lini?wafanyakazi na watendaji wa serikali wenye familia,kodi walizolipa za kupanga Dar wanafidiwa vipi kama kuhama ni kabla ya mwezi wa tisa? acheni mihemuko ya kijuha.fikiria nje ya boksi
 
Ama kweli wewe ubongo umejaa hewa sasa akienda kukaa chato mwezi mzima utasema ikulu ihamie huko.
 
Mheshimiwa anakula kuku wa kienyeji kutoka singida tu sasa
Hawa wa dar wa kulelewa na madawa amemuachia Diamond
 
Wakati anafurahia kukaa chamwino, akumbuke kuwa maelfu ya wafanyakazi wa ngazi ya chini watakaohamia DODOMA hawatakuwa na pa kuishi.

Kwa kuwa Tangazo lake limeongeza ghafla bei za viwanja na nyumba za kupanga, ingekuwa vema akawawezesha wafanyakazi wanaoenda DODOMA kwa mambo mawili, mosi kwa kuhakikisha wizara ya ardhi, inawaauzia viwanja vya gharama nafuu kwenye maeneo yaliyotengwa na yaliyopimwa, ili waanze ujenzi mara moja. Serikali iwadhamini kupata mikopo ya gharama nafuu,kama sehemu ya relocation allowances zao.

Yakifanyika hayo kwenda DODOMA kutagombaniwa na kila public servant, kwani itakuwa ticket ya neema. Itamsaidia Zaidi magufuli kufanikiwa kwa mgongo wa wafanyakazi watakaokuwa motivated.

Asiwatazame mawaziri na makatibu wakuu, hawa wengi wana uwezo, na idadi yao ndogo sana kuleta impact, atazame wafanyakazi wa kada za kati kurudi chini. Kama hawa wakijengewa uwezo mzuri wa kuhama. Sera yake itafanikiwa sana, kwa gharama nafuu na ufanisi wa hali ya juu.
 
Wenye husda wanatamani kunywa sumu ...kwa stahili hii ni lazima uchumi uwafikie watu wote katika mikoa yao
 
Yaani uchumi unawafikiaje kwa kuhamia dodoma....ebu fafanua kidogo rafiki..
 
Back
Top Bottom