Rais Magufuli atapokea ripoti ya mchanga wa madini leo Ikulu, Redio na TV kurusha LIVE!

Wadau,
Muda huu Kama dakika tano zilizopita TBC wameleta habari mpasuko (breaking news) kuwa kesho rais Magufuli atapokea report ya tume aliyoiunda kuchunguza mchanga wa dhahabu. Hivi hii nayo ni habari mpasuko? Tukio ambalo bado halijatokea wanaliita habari mpasuko.
 
Je, atakayekabidhi atatoa kwa kifupi yaliyo kwenye ripoti hiyo?Au ni kukabidhi kimyakimya na kurudi kwa mbwembwe kukaa kwenye kiti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…