Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,913
- 12,189
Aweke na picha yake maguMafisadi Chadema wana haki ya kuandamana. Hii inawahusu
sinema inaendeleakhaaaa! safi sana mkuu naona
viwanda hivyooo vya
mwendokasi. Sasa kubadili noti
hizi kutawasaidia sana maskini
kujikwamua kutoka kwenye
umaskini. Tafadhali mkuu
usiweke sura yako please.
Nimepata tetesi kuwa kuna uwezekano serikali ya Magufuli kubadiki noti ya sh 10,000. Sababu ni kuhakikisha wale walioficha mapesa ya rushwa na wizi kwenye ndoo na magunia tokea enzi za JK majumbani wakose kwa kuyapeleka.
khaaaa! safi sana mkuu naona
viwanda hivyooo vya
mwendokasi. Sasa kubadili noti
hizi kutawasaidia sana maskini
kujikwamua kutoka kwenye
umaskini. Tafadhali mkuu
usiweke sura yako please.
Aliyepost kasema amepata tetesi, na nahisi ni tetesi maana kama ni kweli hiyo thinking itakuwa ya chini kuliko nilivyodhaniMbona kama anazidi 'kujiharibia'?
Akiweka picha yake pesa itapanda thaman eenh….Aweke na picha yake magu
Ova
Uchumi utayumba vibaya sanaNimepata tetesi kuwa kuna uwezekano serikali ya Magufuli kubadili noti ya sh 10,000. Sababu ni kuhakikisha wale walioficha mapesa ya rushwa na wizi kwenye ndoo na magunia tokea enzi za JK majumbani wakose kwa kuyapeleka.