Rais Magufuli asema ana taarifa kuna kiasi cha dola bilioni moja zimekamatwa uwanja wa ndege Dsm!

Pole kwa usumbufu.
Ndio maana wanabeba cash kuepuka usumbufu wa aina hii.
Tz longo longo nyingi mkuu. Nilikuja hapo nkaenda Barclay's bank nataka kutoa Euro kadhaa nikaambiwa eti hadi sijui tiss ya BoT ipitishwe.....

same week nkahamishia mzigo wangu Nairobi na account nkaifungilia mbali. Hakuna logic yaani hela yangu natafuta Mimi alafu matumizi unipangie wewe.....ni ujinga wa hali ya juu.

Kenya unaweza withdraw hadi Euro 50,000/= kwa siku....

We're blessed on complications and so many bylaws
 
Amalizie season finale ya ambulance kwanza kabla hajatuletea series nyingine manake tushachoka sasa!!!

Series ambazo hadi hivi sasa zimesimama kupisha matangazo ni pamoja na--
1. Makinikia Season 2
2. The Capturing of Vichwa Vya Treni visivyo na mwenyewe
3. Ukamatwaji wa sare za Jeshi la Wananchi Tanzania na hivyo kuibua hofu ya kuzuka vita hasa ukizingatia yale yaliyokuwa yanaendelea MKIRU.... :D:D :D wallah John kanishinda tabia!!
4. Ambulance Season 1, Episode 1
5. Migari zaidi ya 50 iliyoji-pretend ni migari ya Manjagu!

Please Director Magu, enough is enough!!
umeua mkuu
 
Mtu hela zake,,mnasema mmemkamata nazo kama vile ameiba sehemu, kwaiyo sasaivi ukiwa na dollar kadhaa unataka kwenda kufunga mzigo wa spea nje,, ni mtihani kutokanazo,,,labda iwe dollar elfu kumi tu
Internationally huruhusiwi kusafiri na zaidi ya dollar 10,000 cash.....!!

Pia hata ukiwa na hizo dollar 10,000 bado kuna taratibu zake za kusafirisha.
Muwe mnauliza

NB: Tatizo kubwa la waTanzania ni lack of exposure..... Hatusafiri kabisa hata humu humu nchini.
 
Kiukweli siyo rahis kusafirisha kiasi hicho cha fedha kwani ni zaidi ya tani 2.5, hiyo ndege iliyobeba ni ya aina gani? Acheni promo za kitoto, mnamharibia rais badala ya kumsaidia
 
Hivi dollar bilioni moja inaweza kusafirishwa kirahisi hivyo wenye dollar wasijue ?
 
We chizi kweli....
At which circumstances unaweza kuita $1m ni pesa ya kawaida.....ni 99% ya watu wote duniani uzaliwa na kufa bila ya kumiliki $1m afu wewe unaleta ujinga hapa.

Be serious sometimes
Wewe kwel bashite labda huko kwenu koromije ndio masikin wa namna hio but not at this side bobbs
 
Amalizie season finale ya ambulance kwanza kabla hajatuletea series nyingine manake tushachoka sasa!!!

Series ambazo hadi hivi sasa zimesimama kupisha matangazo ni pamoja na--
1. Makinikia Season 2
2. The Capturing of Vichwa Vya Treni visivyo na mwenyewe
3. Ukamatwaji wa sare za Jeshi la Wananchi Tanzania na hivyo kuibua hofu ya kuzuka vita hasa ukizingatia yale yaliyokuwa yanaendelea MKIRU.... :D:D :D wallah John kanishinda tabia!!
4. Ambulance Season 1, Episode 1
5. Migari zaidi ya 50 iliyoji-pretend ni migari ya Manjagu!

Please Director Magu, enough is enough!!
Subiri wewe episodes na series bado ziko za kutosha vunga kidogo usiwe na haraka acha matangazo yapite kwanza
 
"Hapa ninapozungumza Airport wameshakamata dola bilioni moja, zilikuwa zinaingia nchini, ndivyo Tanzania inavyotumika kutakatisha fedha," - Magufuli

Rais Magufuli ameyasema hayo katika sherehe za ufunguzi wa tawi la Crdb mjini Dodoma. Source TBC tv!
Au ndio mzigo wa Dr shika ulikuwa unaingia??? Maaana zile nyumba zake bado hazijanunuliwa!
 
Dah.. 1 billion dollars...

=> Tshs.. 2.3 trillions..!!

Aiseeeeeee...!!
 
hivi anajua maana ya bilioni moja kweli? na je, kama hela hiyo inakuja kuingia kwenye nchi yetu, yeye ana hasara gani? ingekuwa inatoka sawa, sasa inaingia kwenye system yetu. hahaha,
Panya akiona nyama iliyotegeshewa kwenye mtego anasema nikiila nina hasara gani! Mawazo yake yanakuwa yamefanana na ya kwako! Nadhani hata kama unapenda vya bure jaribu kujiuliza unapoona vinazidi!
 
Mtu hela zake,,mnasema mmemkamata nazo kama vile ameiba sehemu, kwaiyo sasaivi ukiwa na dollar kadhaa unataka kwenda kufunga mzigo wa spea nje,, ni mtihani kutokanazo,,,labda iwe dollar elfu kumi tu
Naona unadhani ni enzi za kufukia noti mtungini! Ukijiunga JF chukuwa muda wa kujifunza mambo ya Dunia. Uelewa ni vazi la akili. Unaposikia kiasi hicho cha pesa halafu ukatoa maoni kama haya ya kwako tulioko pembeni tunajua uelewa wa mambo ya dunia uko chini. Ni mbaya zaidi maoni yako yanapopewa likes kibao. Hiyo ni ishara kwamba TZ uelewa uko chini saaana!

Kwa ufupi Dunia hii hairuhusu utembee na pesa kiasi kikubwa mifukoni, nchi kwa nchi. Hata kama ni dola elfu 10 nchi yoyote inaweza ikakutia mikononi ili kujua unapeleka wapi.
 
Back
Top Bottom