Rais Magufuli asamehe wafungwa 2, 219 katika kuadhimisha miaka 53 ya Muungano

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
2,002
5,534
Kama ilivyo ada, leo Rais John Pombe Magufuli ametoa msamaha kwa wafungwa 2,219 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano.

Hongera kwa waliopata uhuru wao leo, utumieni vema msije rudi shimoni.
 
Back
Top Bottom