Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,431
- 2,628
Amani iwe kwenu wakuu,
Ni dhahir shair kwamba kwa sasa wapinzan wa tz wamerelax kwani kazi yao ya kutaka kuibomoa ccm..Imekuwa rahisi mno mkulu ambaye pia ni mwenyekit wa chama..amekuwa akifanya matukio ambayo ni dhahir kwamba anaibomoa ccm either kwa makusudi au kwa kutokujua..kwa haya ambayo yanayoendelea ndani ya chama hiki kikongwe na serikali yake kwa ujumla ni dalili kwamba..zama za chama hiki zinaelekea ukingoni..dalili kama hizihiz ndizo zilizoiangusha KANU ya Kenya..na kusambaratika kabisa kwenye siasa za Kenya.
ANC ya SA nayo imepata msukosuko kama huo..baada ya aliyekuwa kiongoz wa vijana wa chama hicho ndugu Julius Malema..mweny ushawishi mkubwa kwa kudai chama hicho cha ANC kilibadilika na kutofata misingi ambayo iliyokuwa ikipigania kutoka kwa makaburu..ndipo Malema akaondoka na kuanzisha chama cha EFF(Economic Freedom Fighter) ambacho kwa sasa kinaungwa mkono sana huko bondeni...
Hakuna asiyejua kuwa Nape ni sehemu ya kubwa kama si injini ya ccm..kitendo cha mwenykit wa chama ambaye pia ni rais cha kumtupia virago kijana huyo bila sababu za msingi..kisa tu amesimamia misingi ya haki na kutenda majukumu yake ipasavyo..ni wazi kuwa amekibomoa chama chake kwa kias kikubwa sana...na kusababisha mgawanyo ndani ya chama kwani ndani ya chama naamini kuna wanachama kibao ambao hawakufurahishwa na tukio alilomfanyia Nape..akiwemo pia Katibu mkuu..hii ni waz kwamba mwenyekit anakibomoa chama chake mwenyew na kuwanufaisha wapinzani..