tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,851
Rais Magufuli ametaja Mshahara wake kuwa ni Tsh milioni 9.5.
Hii sio kweli kwa sababu gharama za chakula, usafiri, mavazi, umeme , Maji, Simu, ulinzi, malazi, na kila gharama, vinalipwa na Serikali ya Tanzania, ambazo ni nje ya hiyo milioni 9.5. Na hapo hapo Mshahara wake haukatwi kodi.
Tunaomba hesabu kamili ya anachopokea na kodi anayolipa.