Alipoo kuwa akitangaza na kuwaapisha Wakurugenzi alisema aliletewa vimemo akavikataa lakini swali dogo la kujiuliza ni hili! Je vimemo mpaka upewe na mtu mwingine? Jibu ni hapana!! Hata wewe unaweza kujipa kimemo kwa kutoa mkono wako wa kushoto kwenda kulia
Mfano! Unapoletewa jina na mtu wako wa karibu la mtu wake ili umuajiri basi umeletewa kimemo
Lakini pia unapoajiri mtu si kwa uwezo wake wa kazi bali kulipa fadhira basi wewe pia umejipa kimemo kwa kutoa mkono mmoja kwenda mwingine mfano Uwaziri aliompa Kitwanga ni kimemo cha kwanza,Kujaza watu wa kanda ya ziwa ni kimemo cha pili,Mrema nae ni kimemo cha tatu
Vyote hivyo ni vimemo amejipa mwenyewe kutoka mkono wa kushoto kwenda kulia
Hivyo mheshimiwa aache kudanganya watu maana anayoongea na anayotekeleza ni vitu viwili tofauti