mattargsm
JF-Expert Member
- Apr 12, 2016
- 391
- 150
Rais wa Tanzania Doctor Magufuli ana muelekeo mzuri wa kuweza kuwapiku Marais wengi hapa Barani Africa kwa sasa licha ya kuwa mimi ni mpinzani lakini ukweli unatakiwa kuuweka wazi.
Anatabia mzuri ya kufuatilia yeye mwenyewe vitu vingi na sio kutumia watu na kuja na uongo. Na kingine alipoingia tu alianza kwa kasi zaidi watu wakasema sivyo ilikuwa ndivo hakukosea ilikuwa aanze muda upi? Ilikuwa muda kuendana na mambo yalivyo angelichelewa basi yangelimshinda mambo mengi zaidi.
Na kingine Rais wetu mpendwa haangalii mtu sura wala ukoo wake anakuangalia utendaji kazi zako.
Muda mdogo tu kaweza kushughulikiwa mambo makubwa ya ajabu. Kama vile watu wa madawa ya kulevya ambalo lilionekana ni suala si lakulichezea chezea kaliweza mpango wa makusanyo wamapato kwenda kwenye serikali iwe hakuna ofisa yoyote wakuzichezea fedha za makusanyo ameliweza kiasi kikubwa kaingilia Kati wafanya kazi hewa ambalo wengi wetu ilikuwa hatujui kama kodi zetu zaliwa hewani hazija fika chini kiujumla anafanya kazi kwataifa letu sio kwa mtu au kikundi fulani ahasante.
Dr MAGUFULI Raisi wa watu na sio Raisi wa mtu wengi wataponda na wengi wataunga mkono lakini ukweli utabaki kuwa ukweli siku zote