Rais Magufuli amteuwa Dkt Kedi Mduma kuwa M/Kiti wa Bodi ya Masoko ya Mitaji na Dhamana

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,621
8,411
faf04679-79bd-4db9-b78d-c619a34d8df9.jpg
 
......Pia Mhe. Rais Magufuli amempongeza Mama Mariam Amir (Bibi Mwanja) kwa upendo wake wa kumchukua Neema na kisha kumpa hifadhi nyumbani kwake huko Tandika Devis Kona Jijini Dar es Salaam.

“Nakushukuru sana Mama na ninakupongeza, umeonesha mfano mzuri wa kujali umoja na upendo kwa Watanzania wenzako bila kujali dini, kabila wale kanda unayotoka na hivi ndivyo Watanzania wote tunapaswa kufanya” amesema Mhe. Rais Magufuli.

********************************
Wa-Dar wanasemaga zilongwa mbali zitendwa mbali.
 
Hio ndio kazi kubwa ya Rais. Anakuna sana kichwa amteue nani.. Na hapo ndipo akili zake zilipofikia mwisho.
Hajui kuna kundi kubwa la vijana hawana ajira wapi kitaa.
 
sasa huyu jamaa si alikuwa mjumbe kwenye bodi ya TRA iliyovunjwa kwa mbembwe Kwa kufungua fixed deposit account,Leo ANAMTEUA TENA..... Atusimamie soko la mitaji?
 
Back
Top Bottom