Rais Magufuli amteua Waziri wa zamani wa Uchukuzi, Omari Nundu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL

Casuist

JF-Expert Member
Jul 23, 2014
1,189
2,970
Rais Magufuli amemteua Ndg. Omari R Nundu kuwa Mwenyekiti wa Bodi TTCL

Uteuzi 1.jpg

Uteuzi 2.jpg
 
Magufuli dr nundu ni mtaalam wa anga na career yake over 30 yrs ni mambo ya anga tena kimataifa kama raisi wa mamlaka naamini huko kwenye mawasliano hafit lbda tuseme kutokana na maadili na uadilifu wake hapo sawa!
 
Kuna mdau humu sijui Mwanakijiji aliandika Mheshimiwa hatafanya kazi ya uteuzi akipata ugeni, naona hapa kazi tu haina cha ugeni wala mapumziko ya weekend.

Hapa kazi tu
 
Tunaomba mke wa raisi afanye jukumu maalumu ata ka ngo kakusaidia walemavu au wazee au watoto. Ndo tamaduni zetu tusitafute utofauti usio na sababu zamsingi
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Haya mambo bhana.....
Tunataka ajira, maji, na mazingira wezeshi ya uwekezaji..... Nafikir Jerry aelekeze nguvu za press huko kwa sasa.....
Laiti kilimo kingepewa kipaumbele na serikali.... Haichukui miaka mitatu ya Tanzania yenye neema......
FYI.. 70-80% ya watanzania ni wakulima......kikubwa wanachokosa ni pembejeo na miundombinu ya mifumo ya maji ya umwagiliaji... Baaaasi
 
Tunaomba mke wa raisi afanye jukumu maalumu ata ka ngo kakusaidia walemavu au wazee au watoto. Ndo tamaduni zetu tusitafute utofauti usio na sababu zamsingi
Mbona anafanya akiongozana na mke wa Waziri mkuu. Au ulitaka awe na NGO ya upigaji ndo uridhike?
 
Nae ni kijana wa zamani. Teuzi za wastaafu wakati vijana wanaosha na viroba
 
Haa Huyu Omary Nundu Aliwahi Kuwa Waziri Wa Uchukuzi Sasa Akawa Haelewani Na Naibu Wake Ikawa Ofisini Kila Mtu Anaondoka Kivyake Hata Safari Za Nje Ya Nchi Naibu Hampi Taarifa Nundu


Bunge Lilipotaka Nundu Ajiuzuru Basi Dr Nundu Akatoa Utetezi Dhaifu Pale Dodoma Akawaita Waandishi Wa Habari Kwenye Bustani Ya Maua Na Kuongea Nao Pumba Tu


Leo Niliwaza Haitaweza Kwisha Bila Teuzi
Mambo Yanazidi Kunoga. Amkumbuke Na Jaji Werema Aliyeangushwa Na Kafulila Kwenye Scandal .... Kule Bungeni Hadi Wakata Kuzichapa Kavukavu Enzi Za Bi Kiroboto Akiwa Speaker
 
Back
Top Bottom