Rais Magufuli amteua Humphrey Polepole kuwa Mkuu wa Wilaya ya Musoma

Ya nini kujitoa ufahamu kiasi hicho kisa unatafuta ukuuu wa wilaya hahaaa.... Shame on vijana wa taifa hili kutumika kwenye siasa za ccm kisa kutafuta madaraka...
 
sidhani kama mshikaji yupo hivyo nahis polepole anahitaji zaid na atajitahid ili asfikie nafas ile anayoihitaji
 
Naona imekuwa taaluma rasmi....
now tunashuhudia 'new graduates' tu kila mwaka
Julius Mtatiro, hujaelewa maana ya kufufua viwanda Huyu naye kaandika na kushauri serikali itoe kitabu cha MKAKUVI, tayari kaula Kinondoni

Vijana jitokezeni msione aibu, inalipa! Tahadhari tu usijemwambia mfalme kakaa vibaya
Jitoe fahamu masaa katika TV, mgazeti n.k. machache kwa ajili ya uzima wa tumbo wa miaka 5 au 10!
 
it was a sacrifice. yaani pata potea. turufu imeangukia kwake otherwise ingekuwa shida!
 
Kijana mpenda mabadiriko polepole amepewa jukumu la kuwaongoza watu wa msoma kwa nafasi ya ukuu wa wilaya hiyo,hongera kijana kawatumikie wanamsoma na watanzania kwa ujumla.
 
Reactions: nao
Nguruvi3
Platinum Member

Hii ndiyo Tanzania, ukiupepeta vizuri unaula

Tuliona jitihada zake za kusema hata yale nafsi yake inayakataa, hakujali nafsi kwasababu inalishwa na tumbo

Hata hivyo hii ni fursa nzuri kwa Watanzania kupata pumziko la ubabaishaji , upotoshaji, uongo na unafiki ingawa pia imetuachia jeraha.

Huyu sasa ni role model kwa vijana, kwamba ili ufanikiwe sema lolote hata kama lina madhara, sema tu!

Kazi njema , haikuwa rahisi lakini umefanikiwa!

 
Ya nini kujitoa ufahamu kiasi hicho kisa unatafuta ukuuu wa wilaya hahaaa.... Shame on vijana wa taifa hili kutumika kwenye siasa za ccm kisa kutafuta madaraka...
nnaona unahis ukawa ndio wapo sahihi sana alijitahid kuleta mabadiliko ambayo tanzania tunayahitaji na sio sarakasi usitake turudi katika mabishano ya siasa maana usifikiri wote tunaippenda ukawa kama wewe na wenzako wengine
 
jamani tujadili uwezo wake, naona watu kama wanatoa majungu vile, ivi si ndio yule aliyekuwa anapigania katiba ya mzee warioba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…