Chonjo anaenda Rombo kuutwaa ubunge!
Duh......Nilihisi Monduli angepelekwa afande Pascal Mayalla!Kwa hiyo monduli ni kwa ACP balele.
Pascal Mayalla hawezi kupata labda abadili jina maana Mayalla ni njaaDuh......Nilihisi Monduli angepelekwa afande Pascal Mayalla!
Kesho yesu wa Chato ataropoka balaa. Gambo kaa mkao wa kutukanwa!
Na Membe naye atatupiwa mawe ya kufa mtu.Kesho yesu wa Chato ataropoka balaa. Gambo kaa mkao wa kutukanwa!
Mwenye picha ya msulwa tafadhari
Yaani tuagize popcorn. Kesho tutasikia mengi!Na Membe naye atatupiwa mawe ya kufa mtu.
Jinsia yako ni gani mkuu..??Mwenye picha ya msulwa tafadhari
NA GRACE KINGALAME TBC ANAJIPENDEKEZA MNO, ANASAKA TEUZI KWA NGUVU.Masikini Paskal mayalla kasahulika
ShemaleJinsia yako ni gani mkuu..??