Rais Magufuli amsimamisha kazi Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu(Bunge) - Uledi Abbas Mussa

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,599
6,669
366c394cff6dcb913e784a8f8b66ce84.jpg


Ametenguliwa ili kupisha uchunguzi dhidi yake kufuatia tuhuma za kutozingatia taratibu zinazotakiwa katika kushughulikia masuala ya uwekezaji.
 
Wengine wanatumbuliwa, Wengine wanapewa fursa ya kufanya sherehe za kumaliza Mwaka.

Wengine wanafungwa miaka saba kwa kosa la kufoji vyeti na waliofoji vyeti wanapewa likizo kwenda Ughaibuni kupumzika kupisha upepo wa kuleta vyeti vihakikiwe.
 
Alaaniniwe huyu Sizonje!

Yaani yeye mtu akigusa maslahi yake binafsi tu au maslahi ya wana chatoland....lazima mtu utumbuliwe tena kwa mbwembwe......

LAKINI hili jambo la msukuma mwenzake "DAUDI ALBERT BASHITE" yeye halioni na wala halisikiii....huyu jamaaa naamini kweli aliugua homa kali wakati wa utoto wake na "dishi limeyumba".....Sitakuja kuamini neno lake hata moja...

.Sizonje ni mkabila, mbinafsi, mpenda kiki kama bashite, na kubwa ya yote ni MNAFIKI WA KIWANGO CHA LAMI".....Poor Mfalme..JU.HA..!
 
Alaaniniwe huyu Sizonje! Yaani yeye mtu akigusa maslahi yake binafsi tu au maslahi ya wana chatoland....lazima mtu utumbuliwe tena kwa mbwembwe......LAKINI hili jambo la msukuma mwenzake "DAUDI ALBERT BASHITE" yeye halioni na wala halisikiii....huyu jamaaa naamini kweli aliugua homa kali wakati wa utoto wake na "dishi limeyumba".....Sitakuja kuamini neno lake hata moja...

.Sizonje ni mkabila, mbinafsi, mpenda kiki kama bashite, na kubwa ya yote ni MNAFIKI WA KIWANGO CHA LAMI".....Poor Mfalme..JU.HA..!

Anza kulaaniwa wewe
 
Back
Top Bottom