Rais Magufuli ampongeza Samatta kutua KRG Genk

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
12662502_1032281366836321_7343504745591367230_n.jpg
 
Naona siku hizi pongezi kutoka ikulu zinatumia proper channel...

Hii itapunguza viburi kwa hawa mastaa wetu wa Bongo kwasababu wengine walikuwa wakishikana mikono na kunywa juice na Rais wanageuka Marais na wao huko mitaani.... Kitu kidogo Vitisho kwa kwenda mbele... Wanapiga mikwara mpaka watendaji wa Serikali

Cc:Dimond
 
Kenya wamepiga atua raia wao kupiga kazi za sanaa nje ya kenya especially mataifa ya ulaya,..
hii ni kwasababu ya support nzuri nchini mwao raia kwa raia,..
ila bongo kwetu mambo haya adimu sana
 
Kwa Bongo yetu sitoshangaa kuona watu wakija na posts za kumkatisha tamaa. Sielewi tumeumbwaje, hatupendi mtu watu ang'ae bila kumtia doa. Tunataka wote tuwe masikini tuchekani. Hii siyo tabia nzuri.
 
Back
Top Bottom