LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 9,211
- 12,716
Ni aibu kubwa kwa Magufuli mwenyeweWalitaka kutumia undugu wa Magufuli na Msigwa kujifanya wanamlipia huku tayari wameshaanza kutangaza kumbe tayari Msigwa na wenzake wawili tayari wameshalipiwa.
Hii ni aibu kubwa sana kwa chama tawala na hata Mwenyekiti wao aliye andaa magari kumfuata Segerea na waandishi wa TV kisha Msigwa kukataa kupanda na kuondoka na wakili wake.
Hakika hii in AIBU KUBWAView attachment 1385851View attachment 1385853
Sent using Jamii Forums mobile app
NonsenseHumu ndani raia mnajitoa ufahamu.
Ndugu wa Msigwa wameenda kuomba wamesaidiwa hao wengine hawajaomba.
Ufuasi wa vyama vya siasa siku hizi unakuwa sumu watu akili zinawatoka.
Aliyekwambia kipimo cha ujasiri ni kuwaweka watu kifungoni ni nani?Mwoga?
Nanii yupo jela kati ya Mbowe na Magufuri?
Ccm bwana,Walitaka kutumia undugu wa Magufuli na Msigwa kujifanya wanamlipia huku tayari wameshaanza kutangaza kumbe tayari Msigwa na wenzake wawili tayari wameshalipiwa.
Hii ni aibu kubwa sana kwa chama tawala na hata Mwenyekiti wao aliye andaa magari kumfuata Segerea na waandishi wa TV kisha Msigwa kukataa kupanda na kuondoka na wakili wake.
Hakika hii in AIBU KUBWAView attachment 1385851View attachment 1385853
Sent using Jamii Forums mobile app
Polepole kaamua kucheza ngoma ya chadema....nimeamini chadema Ni moto
Nonsense
Huyu Polepole hopeless kabisa...Wana siasa za kijinga sana nasikia Polepole alisha wahi Magereza ili apigwe picha na Msigwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Fafanua mkuu UNDUGU wa damu undugu wa ushemeji sijakusomaundugu wa Magufuli na Msigwa
Mkuu imewapandisha hatari, umma wote uko upande waoShow ya chama fulani kutumia 'michango' kama ngazi ya kisiasa ya 'buma'. Ha ha haaa! Siasa aisee...!!!
Hahahaaa alitaka auze sura kidogo hahahaa umetisha mkuuWana siasa za kijinga sana nasikia Polepole alisha wahi Magereza ili apigwe picha na Msigwa
Sent using Jamii Forums mobile app
hahha wala simlaumu bali namcheka ameumbuka kwasababu tayari pesa imeshalipwana Wanachadema.Walaumu walio enda kuomba msaada kwa ndugu yao Mh. Magufuli sio aliye toa mchango wake wa 38M.
Wamempoteza tenaaaa!!! AmkenNi aibu kubwa kwa Magufuli mwenyewe
Wamemwingiza tena choo cha wanawakeWalitaka kutumia undugu wa Magufuli na Msigwa kujifanya wanamlipia huku tayari wameshaanza kutangaza kumbe tayari Msigwa na wenzake wawili tayari wameshalipiwa.