Rais Magufuli amlipia Peter Msigwa Tsh. Milioni 38 ili atoke gerezani, CHADEMA wadai wameshamlipia Mil 40

Walitaka kutumia undugu wa Magufuli na Msigwa kujifanya wanamlipia huku tayari wameshaanza kutangaza kumbe tayari Msigwa na wenzake wawili tayari wameshalipiwa.
Hii ni aibu kubwa sana kwa chama tawala na hata Mwenyekiti wao aliye andaa magari kumfuata Segerea na waandishi wa TV kisha Msigwa kukataa kupanda na kuondoka na wakili wake.
Hakika hii in AIBU KUBWAView attachment 1385851View attachment 1385853

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni aibu kubwa kwa Magufuli mwenyewe
 
Ccm bwana,
Yaani Mh rais kumlipia Msigwa ni kukiri hukumu haikuwa ya haki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walitaka kutumia undugu wa Magufuli na Msigwa kujifanya wanamlipia huku tayari wameshaanza kutangaza kumbe tayari Msigwa na wenzake wawili tayari wameshalipiwa.
Hii ni aibu kubwa sana kwa chama tawala na hata Mwenyekiti wao aliye andaa magari kumfuata Segerea na waandishi wa TV kisha Msigwa kukataa kupanda na kuondoka na wakili wake.
Hakika hii in AIBU KUBWAView attachment 1385851View attachment 1385853

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamemwingiza tena choo cha wanawake
 
Back
Top Bottom