Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali

kwa hiyo toka march 18 ametenguluwa tangazo la kutenguluwa yeye kapata lini
 
Ajira za serikali kulosa mvuto,watu wengi sasa watajiajiri maana ujanja ujanja umaaenda kufila mwisho
 
Safi sana Rais
79644a9f56ee8267f07337d55c9d08bf.jpg
 
Achaneni na viuzi vya kipuuziiiii....! Tunataka limalizwe kwanza la LUGUMI hapa iyo ametengua haina tija kwa sasa. Hapa ni lugumi tu, hadi kieleweke.
 
Nabashirii mhariri aliyetunguliwa atakuwemo kwenye orodha ya wakuu Wa wilaya wapyaa.."note"
 
Back
Top Bottom