Rais Magufuli amepokea hati za utambulisho wa mabalozi sita leo

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Januari 16, 2018 amepokea hati za utambulisho wa Mabalozi sita walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao hapa nchini na kuwaomba mabalozi hao kuwakaribisha viongozi wa nchini zao kutembelea Tanzania.

Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Gerson Msigwa imesema kuwa mabalozi hao waliowasilisha hati za utambulisho ni pamoja na Balozi wa Nigeria hapa nchini, Balozi wa Polanda, Balozi wa Uturuki, Balozi wa Ufaransa, Balozi wa Israel pamoja na Balozi wa Australia

Magufuli_1.jpg
 
Hivi wale wanaomuunga mkono hawajapewa hata ubalozi teriban jaman!!!?
 
Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Januari 16, 2018 amepokea hati za utambulisho wa Mabalozi sita walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao hapa nchini na kuwaomba mabalozi hao kuwakaribisha viongozi wa nchini zao kutembelea Tanzania.

Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Gerson Msigwa imesema kuwa mabalozi hao waliowasilisha hati za utambulisho ni pamoja na Balozi wa Nigeria hapa nchini, Balozi wa Polanda, Balozi wa Uturuki, Balozi wa Ufaransa, Balozi wa Israel pamoja na Balozi wa Australia

View attachment 677147
Sawa tunawakaribisha, ila tabia za kitrump hatuzitaki nchini kwetu,ni lazima waheshimu wenyeji wao,dharau hatutaki.
 
Back
Top Bottom