Nimeiskia hii habari muda huu kupitia Channel 10 ila najiuliza ni kwanini Magu anashindwa kabisa kugusua sakata la Lugumi!
Alafu hivi Taasisi ya serikali inaruhusiwa kutumia hati ya ardhi inayomiliki kuchukua mkopo benki?Au mimi sijaelewa hapa?
Polisi ni tawi la chama ndio maana wameshindwa kumudu utendaji halisi wa kipolisi maana wanatumikia wana siasa badala ya taaluma yao.Issue ya Oysterbay imekaa kihuni sana ...alafu Polisi waache kuyumbishwa na wanasiasa ....waache uoga ...wanapelekeshwa mno ....wameuza lile eneo bila kupenda ....mbona hao wanasiasa hawagusi JWTZ?
Nimeiskia hii habari muda huu kupitia Channel 10 ila najiuliza ni kwanini Magu anashindwa kabisa kugusua sakata la Lugumi!
Alafu hivi Taasisi ya serikali inaruhusiwa kutumia hati ya ardhi inayomiliki kuchukua mkopo benki?Au mimi sijaelewa hapa?
Anashindwa nini kuzungumzia mkataba huu tata kwa kuutaja moja kwa moja?Kwanini azungukezunguke?Mbona wengine anawaadhiri kwa kuwasimasha kazi hadharani tena kwa kuwataja majina?Ukisoma hiyo press release utagundua kuwa kagusia hiyo Lugumi, aliposema "..mikataba ya mashaka inayotiwa saini kati ya jeshi la polisi na wawekezaji.."
Issue ya Oysterbay imekaa kihuni sana ...alafu Polisi waache kuyumbishwa na wanasiasa ....waache uoga ...wanapelekeshwa mno ....wameuza lile eneo bila kupenda ....mbona hao wanasiasa hawagusi JWTZ?
Anashindwa nini kuzungumzia mkataba huu tata kwa kuutaja moja kwa moja?Kwanini azungukezunguke?Mbona wengine anawaadhiri kwa kuwasimasha kazi hadharani tena kwa kuwataja majina?
Bado tutasikitika sana na vizuri ukawa na boksi la Panadol nyumbani kwako ili kukabiliana na maumivu mengi yajayo na hata ukienda kazini beba vidonge vichache maana JF haishiwa habari za aina hii masaa 24 siku 7 za wiki.Inasikitisha....
Anashindwa nini kuzungumzia mkataba huu tata kwa kuutaja moja kwa moja?Kwanini azungukezunguke?Mbona wengine anawaadhiri kwa kuwasimasha kazi hadharani tena kwa kuwataja majina?
Jeshi ni tofauti na taasisi zingine za mkonge......jeshi humuamini sana boss wao......amabaye ni mkubwa wao......IJP kuliko hata Rais....Nimeiskia hii habari muda huu kupitia Channel 10 ila najiuliza ni kwanini Magu anashindwa kabisa kugusua sakata la Lugumi!
Alafu hivi Taasisi ya serikali inaruhusiwa kutumia hati ya ardhi inayomiliki kuchukua mkopo benki?Au mimi sijaelewa hapa?
Hivi Ni lini Maghufuli atampa rasmi ukurugenzi G. Msigwa huyu jamaa yupo makini siyo Kama Salva.
..duh!!
..wanasiasa wa Tz kweli hawana aibu.
..aliyeanza kuuza maeneo oysterbay kwa bei ya kutupa si ni huyuhuyu Dr.Magufuli?
..kama Magufuli anajua kwamba viwanja vya oysterbay ni "prime" kwanini aliuza maelfu ya viwanja kwa bei ya kifisadi?
..halafu anapata wahi moral authority ya kuwalaumu polisi kwa mambo ambayo yeye mwenyewe ameyafanya?