MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,991
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Maendeleo wa Denmark Mhe. Martin Bille Herman Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na Waziri wa Maendeleo wa Denmark Mhe. Martin Bille Hermanna ujumbe wake pamoja na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango na Katibu Mkuu Wizara hiyo Mhe. Dotto James Ikulu jijini Dar es salaam