MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,991
>>Tao Zhang Amesema hii ni mara yake ya kwanza kutembelea Tanzania na Afrika kwa ujumla.
>>Amezungumzia uchumi wa kimataifa unavyoasili uchumi wa Tanzania.
>>Amezungumzia ukuaji wa uchumi wa Tanzania.
>>Amezungumzia mafanikio ya Tanzania kiuchumi na kisiasa kwa kipindi cha miaka 20.
>>Amezungumzia uongozi wa Rais Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza mgeni wake Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Tao Zhang mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake wake Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF), Tao Zhang wanne kutoka (kushoto) Gavana wa Benki Kuu (BOT) Profesa Beno Ndulu, wapili kutoka kulia, Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango watatu kutoka kushoto pamoja na ujumbe wa Mkurugenzi huyo wa IMF

VIDEO: