Mtemikwila JF-Expert Member Aug 29, 2013 1,388 1,059 Dec 7, 2016 #281 ushuzi.1 said: Madalali waliomleta boss wa Boing wakikusikia wanakasirika sana kwani wanaona unataka kuwakosesha 10% yao,hawapendi kusikia watanzania wanapinga ununuzi wa ndege. Click to expand... Hahahahahaha watajijua sasa.
ushuzi.1 said: Madalali waliomleta boss wa Boing wakikusikia wanakasirika sana kwani wanaona unataka kuwakosesha 10% yao,hawapendi kusikia watanzania wanapinga ununuzi wa ndege. Click to expand... Hahahahahaha watajijua sasa.
RUKUKU BOY JF-Expert Member Sep 8, 2015 1,504 1,735 Dec 10, 2016 #282 jamani naomba mnitajie nchi yeyote barani afrika inayomiliki cs300 na boeing787-8...dreamliner
RUKUKU BOY JF-Expert Member Sep 8, 2015 1,504 1,735 Dec 10, 2016 #283 naona tutawapiku hadi rwanda...maana boeing yao yakwetu ni shiiiiiidaaa....icheki youtibe wakuu