Kuingiza double standard kwenye utendaji huo tayari ni kuangusha bidii mpya ambazo ziliasisiwa ili kuleta mageuzi ya utendaji wa shirika hilo la umma.Hakika kwa picha hii HATUTAFIKA.[/QUOTE ndiyo maana nchi haiwezi kusonga mbele miaka 50 ya uhuru serikali haijui maana ya kulipia ankra zake kwa maendeleo ya shirika husika]