Subira yavuta heri eeeeh. Halafu nchi apewe NAPE mh!Kaka garama za uchaguzi ni kubwa 2013 sio mbali ni bora tukisubiri tu.
Zinatekelezeka?Unadhani viongozi wa Afrika wanaachia madaraka kiulaini hivyo hizo ni ndoto za alinacha mkuu. Mshauri atekeleze ahadi zake kwa kipindi kilichobaki ulimsikia nani ktk serikari yake alijiuzuru huo si utaratibu wa Afrika lujiuzuru ni utaratibu wa huko majuu mkuu unamwonea tuu.
Wakati unaingia watu walikuwa na imani sana na wewe lakini huenda ukWaondoka wakati watu (Watanzania) wamejenga chuki kubwa sana kwako.
Mimi sipendi utoke, napenda kukuona ukiwa ikulu lakini kwa hali jinsi ilivyo
ni Bora umkabidhi nchi Magufuli, Mwakyembe au hata NAPE sio mbaya kwa
muda tu wakati tunasubiri katiba mpya na uchaguzi mwingine.
mods ondoeni hii ni utumbo mtupu. Lazima atakuwa mtu wa chadema huyu.
Kaka garama za uchaguzi ni kubwa 2013 sio mbali ni bora tukisubiri tu.
Mods ondoeni hii ni utumbo mtupu. Lazima atakuwa mtu wa CHADEMA huyu.
kweli umechoka kufikiri au hujui serikali yake ina fanya nini au na wewe upo kwenye kundi lile la wandishi wa habari ambao huhama wote kuelezea habari moja na kusahau singine hata sisi tuki kuanagalia wewe tunaona una busara kumbe hovyoooo
Usijali Mkuu nafahamu sana hiyo ni aina tu ya Lugha.Unapaswa kuielewa katiba ya Tanzania kabla ya kutoa ushauri kama huu. Hata JK akijiuzuru, au kufa, si kwamba kina Nape au Mwakyembe ndio watachukua nchi. Makamu wa Raisi, Dr Bilali, ndiye atakayekuwa raisi hadi uchaguzi mkuu 2015.
Sasa tafakari, JK atoke na Bilali aingie kuwa Raisi wa Tanzania hadi uchaguzi mkuu 2015.