Raisi wa jamhuhuri ya muungano wa tanzania amewasamehe wafungwa wapatao 1475, msamaha uo hautahusisha wote wanaokabiliwa na kesi za kubaka na kunajisi,kesi za madawa ya kulevya na matumizi mabaya ya madaraka..
Sijui kama umesoma aliposema haihusiki na kesi za kubaka....
Jamaa wanasikitisha kweli kukaa jela kama hawakubaka basi moyo utakua unaumia daily, ila kama walibaka ni fundisho kwa wengi wanaobaka watoto maana sipati picha niwe na mtoto afu abakwe na watu wazima vile, itanichanganya sana akili...
unayesema eti JK awaachie Nguza na mwanae wakati Mahakama za chini hadi za mwisho kabisa ziliwaona wanahatia, unamaana gani? Mbona huwazungumzii wafungwa wengine waliohukumiwa kwa makosa ya kubaka na kutaka waachiwe? Ulitaka wakubake wewe au mkeo ndio uamini kwamba walibaka? JK analipiza nini au anahusikaje na kufungwa kwao?. msiwe mnaleta matapishi na mimavi humu.