Mkuu hizo picha za juu mwanzoni siyo bongo ni Ke piga ua. Kwanini? Mosi angalia Mabango ya M-pesa ambayo yana rangi ya Kijani, hiyo ni rangi ambayo Safaricom wanaitumia. Pili: hao askari wanausalama siyo wa Tz bali ni wa Ke..... Tatu: hicho kituo cha mafuta cha Kobil ni cha Ke (Ingawa haina maana kuwa tz havipo). Hiyo BATA ni kampuni ya kutengeneza viatu ya Ke located in Limuru Ke (japo nayo haina maana kuwa hawana sections in Tz) kwa hayo tu ni kuwa Kenyatta anaweza kuwa anapendwa TZ yes, but picha hizo haziwezi kuwa uthibitisho!!!