mkipigwa data mnadata! eti "viinchi", kanchi kenu sawa na kilimanjaro region, unafananishaje na TZ nzima? aaah, nimesahau wewe tutsi-extremist, kila kitu kwako posible.
...wanachoona maendeleo kwao ni ile suburb ya nyarutarama pale kigali iliyojengwa kwa wizi wa madini na mali za DRC...Imeendelea kivipi?
Bi kiboga, rais haendelezi nchi kama mnavyopenda kuaminishwa ... watu wenyewe ndiyo wanaoendeleza nchi.
GDP ya Tanzania ni dola bilioni 28, ya Rwanda dola bilioni 7.
Poverty head count ya Tanzania ni 28% ya Rwanda ni 44%.
Hayo maendeleo unayoyazungumzia ni yapi??? ... Acheni unafiki.
Nobody cares,is just a twitter ila kwa haters like your azz hiyo ni more than murder,I'm sure jmali is not your real name,are you coward?endelea kujificha nyuma za key body kumwaga sumu zako za kibaguzinaona wameanza kutuondosha kwenye mada, mada ni kuwa paul kagame ni coward. Ana tumia twitter account moja kuongea na wazungu, na nyingine kutukana wanaume kama Kikwete akiwa amejificha kama anonyomous user, hana balls za kuongea na wanaume kama mwanaume with nothing to hide, sijui ana chembechembe za anti-m7? Mwanaume gani anaogopa kusema wazi msimamo wake?
Koba kuna thread hapa kwenye hii forum, inaonyesha Rwanda imeshaanza kuiwashia indicator Tanzania kwenye Per Capita Income....in just 20 years of TRUE INDEPENDENCE vs 50 years yao na utajiri wote walionao.
Nobody cares,is just a twitter ila kwa haters like your azz hiyo ni more than murder,I'm sure jmali is not your real name,are you coward?endelea kujificha nyuma za key body kumwaga sumu zako za kibaguzi
...wanachoona maendeleo kwao ni ile suburb ya nyarutarama pale kigali iliyojengwa kwa wizi wa madini na mali za DRC...
Kuna maendeleo gani Rwanda ya kuitisha Tanzania?Kagame hana akili lakini nchi inaendelea vipi kwako wewe mwenye Rais mwenye akili mbona kila kukicha kibakuri nchi za watu na maendeleo hakuna?
After 20 years of TRUE INDEPENDENCE? Yaani unataka kusema utawala wa Kihutu ulikuwa ni wa kikoloni? Haukuwa utawala wa Wanyarwanda ule? By the way, do you know the state of economy of Tanzania wakati Mkapa anachukua nchi 20 years ago? Mtahangaika sana kupiga porojo na matusi hapa jamvini lakini uchumi wa Rwanda wala hautakuja kuifikia Tanzania hata siku moja.Koba kuna thread hapa kwenye hii forum, inaonyesha Rwanda imeshaanza kuiwashia indicator Tanzania kwenye Per Capita Income....in just 20 years of TRUE INDEPENDENCE vs 50 years yao na utajiri wote walionao.
Mkuu nimekula ban mara mbili kwa ajili ya hii issue.... inashangaza kwani mimi nilikuwa naelezea tu alivyojichanganya... nikirudia tena yale maelezo nitakula tena ban nyingine
PK kaumbuka
Imeendelea kivipi?
Bi kiboga, rais haendelezi nchi kama mnavyopenda kuaminishwa ... watu wenyewe ndiyo wanaoendeleza nchi.
GDP ya Tanzania ni dola bilioni 28, ya Rwanda dola bilioni 7.
Poverty head count ya Tanzania ni 28% ya Rwanda ni 44%.
Hayo maendeleo unayoyazungumzia ni yapi??? ... Acheni unafiki
Kwaní Kagame nae ni rais wa nchi gani?
Anaitwa PaKa na wala si pk