Rais Kagame aumbuka twitter

Asante kaka sasa hivi mwendo wa data tu
 
Angalia ya kwako.
 
I have read the story in Washington Post and it made my day.
 
Hawa Wanyarwanda kwa nini wanang'ang'ania Tanzania?
 
Ok.....unapenda kwenda china sana?
 
Short and clear, well argued mkuu. Dole la uhakika nakupa, nimeipenda.
 
Intelijensia yako ni ndogo sana.
Tumewafundisha wanyarwanda intelijensia .... RPF wengi tu walikuwa kibiti, B'moyo etc....
You are very low compared to TZ not mentioning The BOSS.
Fanya subira, utanielewa.

Hata mmarekani alifundishwa na muingereza....get the drift?
 
ipo kazi kwa hawa majirani... Kikwete alifanya vyema kuwatimua toka Ngara.
 
Njaa kali tuu huna lolote maskini mkubwa wewe
 
Vii GDP per Capita?
 
hahaha, with this Kagamegate, we know there is a 99.9% chance kuwa hao woote uliowaalika ni mtu mmoja!

Dillussional. Scared of your own shadow. Just goes to show how "chicken" you are.
 
Hivi viinchi vyote hoi maskini wa kutupa hakuna wa kucheka mwenzake,billions za barick and all gold companies nazo zimo ndani ya hiyo GDP and you know what's up Kama una akili lakini...pole sana fukara mkubwa na misifa ya kibwege
 
Koba kuna thread hapa kwenye hii forum, inaonyesha Rwanda imeshaanza kuiwashia indicator Tanzania kwenye Per Capita Income....in just 20 years of TRUE INDEPENDENCE vs 50 years yao na utajiri wote walionao.
 
Kagame hana akili lakini nchi inaendelea vipi kwako wewe mwenye Rais mwenye akili mbona kila kukicha kibakuri nchi za watu na maendeleo hakuna?

Nafikiri tuangalie kwanza nini akifanyacho kwa manufaa ya nchiye. Khalafu ndio tuseme tuyasemayo na sii vinginevyo.
 
Hivi viinchi vyote hoi maskini wa kutupa hakuna wa kucheka mwenzake,billions za barick and all gold companies nazo zimo ndani ya hiyo GDP and you know what's up Kama una akili lakini...pole sana fukara mkubwa na misifa ya kibwege

mkipigwa data mnadata! eti "viinchi", kanchi kenu sawa na kilimanjaro region, unafananishaje na TZ nzima? aaah, nimesahau wewe tutsi-extremist, kila kitu kwako posible.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…