Rais John Magufuli amemteua Dkt Baghayo Abdallah Saqware kuwa Kamishna wa TIRA

Kisu Cha Ngariba

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
22,135
48,826
Rais Dkt John PombeMagufuli amemteua Dkt Baghayo Abdallah Saqware kuwa Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA).
e3390ef0801c0755c1e53da7e370539d.jpg

Hongera sana lecturer wangu.
 
Madokta na ma prof wengi kweli serikalini lakini nchi imekwama

Haina mabadiliko,na hawa ndio wanafundisha wanafunzi vyuoni ili waje kufanya mabadiliko ya kimaendeleo

Sasa wamekabidhiwa wenyewe watekeleze wanachofundisha madarasani,na wamekwama.

Elimu yetu shida
 
Wengi wao huwa hawashauriki huamini wanachojua ni sahihi
 
Madokta na ma prof wengi kweli serikalini lakini nchi imekwama

Haina mabadiliko,na hawa ndio wanafundisha wanafunzi vyuoni ili waje kufanya mabadiliko ya kimaendeleo

Sasa wamekabidhiwa wenyewe watekeleze wanachofundisha madarasani,na wamekwama.

Elimu yetu shida
Chadema imekwama sababu ya Baregu na Safari?
 
Back
Top Bottom