Rais Jammeh wa Gambia acharuka!

Deeds speak louder than words. The ruler had been in power for over 20 years without any tangible achievement. Today is promising economic wonders in 5 years. What a nonsense and hypocrisy is this!!!
 
Mimi binafsi siwezi kumsikiliza huyu bwana maana ni confused and nina mashaka sana kama anamaanisha anachosema. matendo ndio muhimu kuliko maneno mengi. Well, sifagilii uzembe na kama umeona mesage yangu ya chini inajieleza wazi

Kuchangia kwenye thread hii kunaonyesha umeshamsikiliza tayari.

Alichokisema kina make sense kwa Tanzania na nchi nyingi sana Kama si zote chini ya Jangwa la Sahara. Tunazembea kazini huku tukitaraji maendeleo, haiwezikani
 
Kuchangia kwenye thread hii kunaonyesha umeshamsikiliza tayari.

Alichokisema kina make sense kwa Tanzania na nchi nyingi sana Kama si zote chini ya Jangwa la Sahara. Tunazembea kazini huku tukitaraji maendeleo, haiwezikani

Mkuu,
Africa hii kila kiongozi anasema. Nani sasa anatenda? Sijashawishika na maneno yake maana nahisi anapiga porojo tu. Aanze kwa kutenda. Mbona Kagame hatoi hizi public speech and yet Rwanda inasonga mbele??? Well, pengine wengine bado tunavutiwa na wana siasa wenye hotuba nzuri nzuri, wanaosema yale tunayotaka kuyasikia.
By the way, huyu jamaa ni mganga wa kienyeji pia?
 

Mkuu,
Hapo kwenye red ni very true yaani aproximately 95%....INA UKWELI.
 


Ni kauli nzito kutoka kwa mtu mwenye cheo kizito kabisa ila isije ikawa ndio zile kauli za kuingia nazo ofisini mwisho wa siku panakuwa hapana jipya kwani tumekuwa tukishuhudia kauli za namna hiyo nyingi kutoka kwa viongozi wengi wa Afrika ila baada ya muda wao wenyewe wanaanza mizinguo na hawafanyi lolote zaidi ya kuanzisha vita na kuua wananchi wasio na hatia bure, ila kama kweli atatimiza wanaweza fikia malengo yao kwani hakuna lisilowezekana.
 
nadhani hata Tz tunawahitaji viongozi kama hawa

ndio maana sisi tumelikimbia AZIMIO LA ARUSHA kwa lengo la kujinufaisha,tunahitaji mtu ambaye atakubari kulisoma upya azimio la arusha na kutueleza ubaya uliopo ktk azimio hilo,kwani viongozi wengi tz wamekuwa ni rushwa pasipo hata kuwa na huruma na walalahoi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…