Rais, ichunguzeni Halmashauri ya Kyela

[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kumbe halmashauri ya Kyela ndiyo halmashauri ya Mbeya! Hebu tulia weka mambo sawa ueleweke.
 
Mimi sio chawa,shika hiyo itakusaidia.Stupid
 
Mimi sio chawa,shika hiyo itakusaidia.Stupid
Hata kichaa huwa anakataa kuwa yeye si kichaa.
Mchawi hawezi kukubali kuwa yeye ni mchawi.
Endelea na uchawa ili upate mkate wako wa kila siku kwa kupungukiwa na akili za kuweza kutumia nguvu zako kupata mkate bila ya kuwa mtumwa.
 
Boya
 
"kylamba" ndiyo kulamba kwa kinyakyusa ghwe! Ndagha fyijo ughwombile.
 
Msipochukua hatua sasa sisi wananchi tutachukua kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…