naomba tuongee ukweli kabisa bila udini,au ukabila tuongee kama watanzania. ivi kama kungelikuwa na uwzekano wa kuwarudisha madarakani marais wastahafu kati ya hao apo chini ni yupi
angelipata kura ya ndio?. na unafikiri ni kwa sababu gani!
Ally hasani mwinyi
Benjamin w mkapa
Jakaya m kikwete
none of them
Tuangalie ajae walipita c ndwele
kweli J K Nyerere ndo alitufaa bt kwenye list yako hakuna kabisa
Mkapa the best. Sema alichemsha katika issue ya uwekezaji na kufa kwa nyerere katika kipindi chake.
Mkapa alihusikaje na kifo cha real JK Nyerere au yeye ndo alihusika katika kuinyofoa roho!!!!!! mpaka useme kuwa alichemsha?? au kwa kuwa mwl. JK Nyerere alikufa wakati yeye yupo madarakani!!! au wewe ulitaka afe wakati gani?????Mkapa the best. Sema alichemsha katika issue ya uwekezaji na kufa kwa nyerere katika kipindi chake.
Tuangalie ajae walipita c ndwele
Ni rais gani aliejenga lami kuiunganisha mikoa? ni rais gani aliesambaza umeme mpaka kijijini kwenu? ni rais gani aliesimamia ujenzi wa daraja la kigamboni ? ni rais gani aliejenga shule nyingi za sec? ni rais gani alijenga daraja la kilombero? nirais gani alie ondoa ufisadi kwenye umeme? yako mengi sana. nafikiri mnamfahamu!
Mkuu,
Nakuhishimu mno na kuhishimu uwepo wako humu barzan, walaakin naomba nikuvunjie adabu kwa kumtia hoyo ulomdhani ati ndo msafi ilhaali umekaririshwa na ile history ya one side of Nyerere,
Kumbuka pana #The darkness side of hoyo hoyo.
Kisha nitakuhitaji utufanzie mrejezo wako baada ya kupita upande huo pia.
Mkuu,
Nakuhishimu mno na kuhishimu uwepo wako humu barzan, walaakin naomba nikuvunjie adabu kwa kumtia hoyo ulomdhani ati ndo msafi ilhaali umekaririshwa na ile history ya one side of Nyerere,
Kumbuka pana #The darkness side of hoyo hoyo.
Kisha nitakuhitaji utufanzie mrejezo wako baada ya kupita upande huo pia.
Baba akiwa muongo mara nyingi usitaragi mazuri kwa kizazi chake ila kwa msaada wa Mwenyezi Mungu na yule mama ya wana kama kwao kalelewa kwa maadili.
ila kwa msaada wa Mwenyezi Mungu na yule mama ya wana kama kwao kalelewa kwa maadili.