Babu wa Kambo
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 559
- 808




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete wakifurahia jambo mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam![]()
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam![]()
![]()
![]()
Kachukue katiba usome labda itakusaidiaHv huyu akikutwa na ufisadi,Magu atamshughulikia kweli?