Rais Dkt. John Magufuli atuma salamu za pole kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,266
35bb68753239eeda4b06cd8e85ae7c58.jpg
 
Kipindi cha kikwete nilikuwa sioni kabisa hizi habari. Lakini kwasasa naona kila kitu kinapatikana japo inasemekana vyombo vya habari vimebanwa
Habari zipi mkuu..? Kama salamu za rambirambi mbona zilikuwa zinatoka.
 
Raisi Magufuli nakupongeza sana kutumia nafasi yako kama raisi kumpa pole Mbowe kama kiongozi wa upinzani bungeni na kama mwenyekiti wa chadema taifa.Lakini bado sijasahau kifo cha kamanda Mawazo ambapo ukiwa kama raisi hukuwafariji wafiwa pamoja na kifo kile cha kikatili
Kuvuta hisia za watu wengi
 
Mh Mbowe usikubali kupokea rambirambi za Magufuli , huyu alishasema kushirikiana na wapinzani ni usaliti , sasa ameleta rambirambi kwa malengo gani ?

Sikubaliani na hiyo kitu mkuu , mrudishie salamu zake , mwambieni wana chadema wamezikataa .

Dawa ya moto ni moto .
 
Back
Top Bottom