Rais Biden aonya uwezekano wa shambulio lingine kutokea Uwanja wa Ndege Kabul

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Rais wa Marekani, Joe Biden ameonya kuwa upo uwezekano mkubwa wa shambulio lingine kutokea Uwanja wa Ndege wa Kabul akisema Makamanda wamemtaarifu linaweza kutokea mapema

Serikali ya Marekani imewataka Raia wake kuondoka eneo karibu na Uwanja wa Ndege. Zaidi ya watu 110,000 wakiwemo Raia wa Afganistan na Mataifa mengine wameondolewa hadi sasa

======

Another attack on Kabul airport is highly likely, US President Joe Biden has warned, saying commanders have told him it could come as early as Sunday.

The state department has urged all US citizens to leave the area near the airport because of a "specific, credible threat".
The US is continuing evacuations but the final UK troops, diplomats and officials have now left Kabul.

A suicide bombing near the airport on Thursday resulted in some 170 deaths.

A local branch of the Islamic State group - Islamic State in Khorasan Province (IS-K) - claimed the attack.

In retaliation, the US carried out a drone strike on eastern Afghanistan late on Friday, saying it had killed two "high-profile" IS-K members.

The two are described as a planner and a facilitator. It is unclear whether they were directly involved in planning the Kabul airport attack.

"This strike was not the last. We will continue to hunt down any person involved in that heinous attack and make them pay," Mr Biden said in a statement released on Saturday.

IS-K is the most extreme and violent of all the jihadist militant groups in Afghanistan and has major differences with the Taliban, who now control most of the country. It accuses them of abandoning the battlefield in favour of a negotiated peace settlement with the Americans.

The Taliban condemned the air strike, saying the Americans should have consulted them first, a spokesman told Reuters news agency

Source: BBC
 
Wameshindwa kumeet deadline ya kutoa watu hapo Kabul, wameanza visa na mashambulio ya kutengeneza kupata excuse na kudivert akili za watu!
 
Sijasema wala sijamaanisha kuwa Taleban watakuwa magaidi.Kwani wanaolipua mabomu huku Afghanistan sasa hivi ni Taleban?
Hii ni mipango tu ya Marekani na dada zake kuendelea na mishe zake. Military Industrial Complex ya US.
 
Recently kuna taarifa Makomando wa SAS wamejitolea kupambana na IS-K huko mashariki ya Afghan, ili kulipa kisasi cha vifo vya wale wanajeshi 13 waliouwa. Hii ni michezo wenye dunia wanaicheza. Hii dunia kuna watu wanaiendesha jinsi watakavyo.
 
Back
Top Bottom