hugochavez
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 1,907
- 1,009
Ni Ukweli mchungu na usiopingika kwa namna yoyote kwamba mrithi wa jakaya kikwete ni mwanaCCM kindaki ndaki.
Hii inatokana na hali halisi kwamba CCM ina hazina kubwa ya viongozi waliopikwa na kuandaliwa kwa muda mrefu tangu utotoni mwao na sasa wako tayari kubeba jukumu zoto la kuwatumikia watanzania.
CCM NI TOFAUTI NA VYAMA VYA UPINZANI AMBAVYO VIMEJENGEKA VIZURI SANA JUU LAKINI UKISHUKA KATIKA NGAZI YA MKOA WILAYA NA VIJIJINI HAKUNA WATU. VYAMA VYA UPINZANI NI VYA WENYEVITI TU. Mbaya zaidi haviishi migororo ya kugombea madaraka na vyeo.
CCM ni lulu
mbowe ni fisadi. anakwapua ruzuku ya chadema anaenda kununua majumba dubaiCCM ni ukoo wa panya walioandaliwa kwa ufisadi na sio viongozi wenye uadilifu na kujali wananchi wanaowapa dhamana ya kuongoza.
usitumie kichwa kufugia tu nywele mkuukama ccm ni lulu lazima bwana ake awe komba mzee wa msituni
Hivi ndani ya UKAWA kuna mtu ana hadhi kweli ya kuwa Rais wa nchi?ni kweli kabisa. ukawa ni walafi wa madaraka na wachumia tumbo
Hilo lipo wazi mkuu. Hata Wapinzani wanajua hivyo
Wapinzani wanabweteka na majina kama RAIS WA MBEYA, RAIS MTARAJIWA, NYERERE WA PILI na mengine.upo sahihi, wao watabaki wasindikizaji daima
Kwa kusema tu ukweli, amepokea pesa za Escrow? Kazi mnayo vijana wa BAVICHA na viroba vyenu.sio siri na ww utakuwa umepokea mgao wa ESCROW
Hivi ndani ya UKAWA kuna mtu ana hadhi kweli ya kuwa Rais wa nchi?