Kazi za kuajiriwa nyingi duniani kabla hujaanza kazi lazima ufanyiwe medical examination, ili wajiridhishe utafanya kazi vyema. Alicho kifanya Magafuli ndo inatakiwa kikubalike ktk jamii na waende mbali zaid ya kupima afya zao na kuwafanyisha mazoezi kulingana na job description zao.
Nafikiri wapimwe kutokana na description za kazi zao, mfano kuhutubia masaa, je anaweza simama masaa, je anafikiria vizuri ama vipi, nk. Na ningependelea iende mbali zaidi, rais anapokuwa mgonjwa kwa miezi sita mfululizo afutwe kazi. Maendeleo yanataka mtu mwenye afya njema zaidi.
Angalia hawa ndo maana wanahimili mikiki kiki ya dunia.
https://www.youtube.com/watch?t=30&v=f-It3dPiLjI