Rais ana mipaka gani kuchagua Mkuu wa Majeshi?

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,742
14,060
Hili nauliza nikitaka kujua kisiasa je rais ana mipaka yoyote na ,je ? Utaratibu wa insurbordination ''Insubordination is the act of willfully disobeying one's superior'' kwa mfano kwenye makampuni ukiamua kumpandisha mwenye degree juu ya wenye masters kuna utaratibu,kiserikali ikoje.
 
Rais ndio Amiri jeshi.ana uwezo wa kumteua mwanajeshi yoyote akampandisha cheo,na kumteua mkuu wa majeshi.
Lakini kwa kuwa mambo haya si ya kukurupuka kuna utaratibu Rasmi wa kumpata kamanda,
 
Rais ndio Amiri jeshi.ana uwezo wa kumteua mwanajeshi yoyote akampandisha cheo,na kumteua mkuu wa majeshi.
Lakini kwa kuwa mambo haya si ya kukurupuka kuna utaratibu Rasmi wa kumpata kamanda,
Siyo kweli. Pana BUT wakiwemo Ma CDF wastaafu. Humpelekea majina for his endorsement. Kuna sifa na taratibu za kuwapata wenye majina hayo.
 
Hili nauliza nikitaka kujua kisiasa je rais ana mipaka yoyote na ,je ? Utaratibu wa insurbordination ''Insubordination is the act of willfully disobeying one's superior'' kwa mfano kwenye makampuni ukiamua kumpandisha mwenye degree juu ya wenye masters kuna utaratibu,kiserikali ikoje.
raisi utaratibu rasmi anaweza kumteua afisa yeyote ambaye ni commisioned officer(luteni usu) wa jeshi kumpandisha cheo na kuwa mkuu wa jeshi.
hata kwa polisi pia anaweza kumteua afisa wa polisi yeyote kuanzia mkaguzi msaidizi wa polisi kuwa mkuu wa polisi.
utaratibu huu ni wa kisheria ila desturi huwa anapelekewa majina ya watu " wanaofaa kwa nafasi tajwa kwa mazingira ya wakati husika" kutoka kwenye vyanzo vya ndani na nje ya jeshi husika.
then anafanya maamuzi
 
Back
Top Bottom