Kichwa cha habari kinajieleza.
Naunga mkono Rais kuwapa nafasi za kutumia ndugu zetu wenye ulemavu.
Lakini ktk kundi hili la walemavu wako wenye makando-kando kama huyu bwana Amon Mpanju.
Mpanju ni kada mkereketwa wa ccm. Amekuwa akizunguka majukwaani akikipigia kampeni chama chake.
Lakini kama hilo halitoshi, Mpanju alishapata nafasi ya kutumikia ktk bunge la katiba. Ndani ya bunge lile alipaswa kuweka mbele maslahi ya TAIFA lakini yeye akaendekeza maslahi ya chama chake.
Ushiriki wa Amon Mpanju kupiga kampeni za CCM wakati wa uchaguzi mkuu, na mwenendo wake wakati wa bunge la katiba, ni mambo ambayo kwa mtizamo wangu yanamuondolea sifa za kuweza kuteuliwa kuwa Mtumishi wa umma.
Mimi sina uhakika kama atakwenda kututumikia wa-Tz wote, au atakuwa akiendekeza maslahi ya chama chake.
Naunga mkono Rais kuteuwa walemavu katika nafasi mbalimbali, lakini naupinga uteuzi wa Amon Mpanju kuwa Naibu Katibu Mkuu wizara ya sheria na katiba.
Rais angeteua mlemavu ambaye NEUTRAL asiyekuwa na makando-kando aliyonayo Amon Mpanju.

Last edited by a moderator: