MangwelaJr
Senior Member
- Jan 4, 2017
- 102
- 241
Akili yako imeamua kuchagua hayo maneno tu, ila ukisikiliza hotuba yote utaelewa alikuwa anamaanisha nini.Akiwa Shinyanga tarehe 12/01/2017 mh.Raisi alisema:
"Tukitengeneza barabara za lami,watu mtaweza kutengeneza matikiti maji na kuyapeleka kuyauza Zanzibar".
Lengo la Uzi huu ni kuomba wale waliomuelewa mh.kuhusu haya maneno machache,alikuwa anamaanisha nini??
Ahsanteni.
Alimaanisha kukiwa na lami usafirishaji utakuwa rahisi yanaweza kufika Zanzibar same day.Akiwa Shinyanga tarehe 12/01/2017 mh.Raisi alisema:
"Tukitengeneza barabara za lami,watu mtaweza kutengeneza matikiti maji na kuyapeleka kuyauza Zanzibar".
Lengo la Uzi huu ni kuomba wale waliomuelewa mh.kuhusu haya maneno machache,alikuwa anamaanisha nini??
Ahsanteni.
Ukimsikiliza mtu kwa nia ya kumkosoa hutomuelewa kamwe muwe mnamsikiliza kwa nia njema mtamuelewa tu
Sawa MKUU..lakini naomba nawe uulizie huko wengine walivyomuelewa.Alimaanisha kukiwa na lami usafirishaji utakuwa rahisi yanaweza kufika Zanzibar same day.
Mbona vitu obvious sana. Sasa kama viongozi wanaongea vitu obvious tuu watatuongoza kuelekea wapi?Kwani waligundu alami na kuona kwamba inafaa kwa barabara na barabara zikajengwa ili kuondoa za vumbi hawakuwa wakijua hilo?Alimaanisha kukiwa na lami usafirishaji utakuwa rahisi yanaweza kufika Zanzibar same day.
Tena kubwaShughuli ipo
Labda MKUU...tumuachie MunguLabda anamaanisha matikiti maji yana soko sana huko Zanzibar
Mungu wa mbiguni atusaidieTena kubwa
haha. Ni kazi barabara haijajieleza itaelekea wapi.Kisha maelezo ya kufika zenj yakaingia huku ikijulikana wazi kwamba kutengeneza barabara ya lami kwenda zenji,haiwezi kuwa mpango watanzania katika dunia ya leo. Kama sio yeye kajinukuu basi waliomnukuu wamemnukuu vibaya.Akiwa Shinyanga tarehe 12/01/2017 mh.Raisi alisema:
"Tukitengeneza barabara za lami,watu mtaweza kutengeneza matikiti maji na kuyapeleka kuyauza Zanzibar".
Lengo la Uzi huu ni kuomba wale waliomuelewa mh.kuhusu haya maneno machache,alikuwa anamaanisha nini??
Ahsanteni.
Mbona inaeleweka mkuuAkiwa Shinyanga tarehe 12/01/2017 mh.Raisi alisema:
"Tukitengeneza barabara za lami,watu mtaweza kutengeneza matikiti maji na kuyapeleka kuyauza Zanzibar".
Lengo la Uzi huu ni kuomba wale waliomuelewa mh.kuhusu haya maneno machache,alikuwa anamaanisha nini??
Ahsanteni.
Tusaidiane MKUU...Karibu kwa ufafanuziMbona inaeleweka mkuu
MKUU...lengo la huu Uzi sio kujadili elimu yake..lengo ni kupata maana halisi ya maneno yake hayo.Kunahaja ya kumpeleka tena shule akasome maswala ya utawala amezidi kuropoka sana,speech zake ziko shaghalabagala