Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,110
- 5,010
Mama hawezi mtupa Makonda sababu mwenyewe alisema katika watu waliokuwa wanamkubali mama basi wa mwanzo alikuwa Makonda.Sikiliza alivyomsifia Makonda na leo angalia alichokifanya kwenye mkeka.
Hauna guaranteeUongozi wa kuteuliwa ni mtego
Sawa ila alianza kuleta stori za Mwendazake kwenye siasa za Mama.Mama hawezi mtupa Makonda sababu mwenyewe alisema katika watu waliokuwa wanamkubali mama basi wa mwanzo alikuwa Makonda.
Makonda ana mabaya yake lakini kwenye usimamizi apewe sifa yake
Ukimtoa makonda ni nani mwingine?Maana kamsifia sana aweso na bado yupo, kamsifia sana jerry silaa na bado yupo..Kwa namna Mhe. Rais anavyowatumbua wale aliowasifia siku chache tu baada ya kuwasifia natoa rai wa wateule wa Mhe. Rais kijitafakari.
Tarehe 4/4/2024 wakati anaapisha viongozi wapya atamsifia mmoja baada ya mwingine; niwaombe mzitafakari hizo sifa. Atasema amewapeleka kimkakati ila jitafakarini nyendo zenu.
Mama hapendi kudhalilisha watoto wake adharani, anawachapa kwa siri sana. Jitahidini sana kufanya kazi kwa utashi wenu siyo kwa kujipendekeza maana mama hapendi unafiki.
Sikiliza alivyomsifia Makonda na leo angalia alichokifanya kwenye mkeka.
Jitafakarini
Serious?Kwa namna Mhe. Rais anavyowatumbua wale aliowasifia siku chache tu baada ya kuwasifia natoa rai wa wateule wa Mhe. Rais kijitafakari.
Tarehe 4/4/2024 wakati anaapisha viongozi wapya atamsifia mmoja baada ya mwingine; niwaombe mzitafakari hizo sifa. Atasema amewapeleka kimkakati ila jitafakarini nyendo zenu.
Mama hapendi kudhalilisha watoto wake adharani, anawachapa kwa siri sana. Jitahidini sana kufanya kazi kwa utashi wenu siyo kwa kujipendekeza maana mama hapendi unafiki.
Sikiliza alivyomsifia Makonda na leo angalia alichokifanya kwenye mkeka.
Jitafakarini
Anaenda kupiga pesa za rushwa, RC anapiga pesa kuliko KM wa CCMVile vikao nyeti saana vya taifa atavikosaaa.
Kura mnaenda kuiba sasa Makonda wa nini?Ukimtoa makonda ni nani mwingine?Maana kamsifia sana aweso na bado yupo, kamsifia sana jerry silaa na bado yupo..
Katibu mwenezi ni km mpiga debe tu, km katibu mkuu amekuwa RC unashangaa nini.Dah! Yaani unatoka kuwa Katibu mwenezi wa chama mwenye mbwembwe na mikwara mingi kwa mawaziri na watendaji wengine wa serikali! Mpaka kuwa Mkuu wa Mkoa mwenye mamlaka ya kawaida kabisa!! Na wale mawaziri uliowatisha na kuwakoromea wanakuwa juu yako eti!!
Aisee hii ni fedheha kubwa mpaka basi.
Makonda ni akili ndogo, mkabila, mshamba, mbinafsi, hajui mipaka ya wajibu wake. Hamtambui yeyote zaidi ya Rais wa nchi.Sawa ila alianza kuleta stori za Mwendazake kwenye siasa za Mama.
Mpaka nikamshangaa huyu anatumikia aliye hai au mfu?
Kiufupi siasa za amsha amsha anaziwesa ila strategy za kipumbavu na kutojitambua.
Hii ndio shida ya watu wenye kutumia hisia badala ya akili.
Inahitajika kuwepo na uzalendo wa nchi ili nchi iweze kuwa na vijana waliofundwa kiuongozi.Sawa ila alianza kuleta stori za Mwendazake kwenye siasa za Mama.
Mpaka nikamshangaa huyu anatumikia aliye hai au mfu?
Kiufupi siasa za amsha amsha anaziwesa ila strategy za kipumbavu na kutojitambua.
Hii ndio shida ya watu wenye kutumia hisia badala ya akili.
Mama hawezi mtupa Makonda sababu mwenyewe alisema katika watu waliokuwa wanamkubali mama basi wa mwanzo alikuwa Makonda.
Makonda ana mabaya yake lakini kwenye usimamizi apewe sifa yake
Sawa ila alianza kuleta stori za Mwendazake kwenye siasa za Mama.
Mpaka nikamshangaa huyu anatumikia aliye hai au mfu?
Kiufupi siasa za amsha amsha anaziwesa ila strategy za kipumbavu na kutojitambua.
Hii ndio shida ya watu wenye kutumia hisia badala ya akili.