Mshindi wa kiti cha Urais kenya atakua Raila Odinga na Martha Karua......Rutto na ushawishi wake na nguvu yake kamwe hawezi kuwa rais kamwe...
Moyo wako haujakosea lkn rais ni OdingaMoyo wangu unasema ni Ruto tu
Raila hawezi kamwe kushinda nafasi ya urais, ninakuhakikishia!Moyo wako haujakosea lkn rais ni Odinga
Ndani ya siku mbili huu uzi utafufuliwa upya tusubiri hakuna haja ya kibishana ndg yanguRaila hawezi kamwe kushinda nafasi ya urais, ninakuhakikishia!
Eti Kenya yenu....fakene hell😆😆😆Kila la kheri hiyo kesho raila Odinga baba! Tunaimani utaivusha kenya yetu!
Una utoto sanaKila aliyemuunga mkono Jiwe ni Adui yangu
Umri umeenda na Kenya vijana ni wengi watampa tu HustlerRaila hawezi kamwe kushinda nafasi ya urais, ninakuhakikishia!
kims mbona unaandika kama hujaenda shule? sikujui, si ajabu na wewe ni lumpen! samahani.. humu hatujuani lakini one can figure out somebody's status through presentation on JF writingsMshindi wa kiti cha Urais kenya atakua Raila Odinga na Martha Karua......Rutto na ushawishi wake na nguvu yake kamwe hawezi kuwa rais kamwe.....Kwa mara ya kwanza Kenya historia inaenda kuandikwa leo tarehe 09 ni siku ya kura
Raila anachukua ushindi mapemaaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Ruto hapati urais safari hii ruto hawezi ukwaa urais ana scandals chafu sana
Raila hawezi kamwe kushinda nafasi ya urais, ninakuhakikishia!
Halafu wewe ndio uliandika thread kuhusu watu kushambilia waleta mada. Kweli nyani haoni kalio lake.kims mbona unaandika kama hujaenda shule? sikujui, si ajabu na wewe ni lumpen! samahani.. humu hatujuani lakini one can figure out somebody's status through presentation on JF writings
sijatukana, angalia kote hakuna tusi! Only commentsHalafu wewe ndio uliandika thread kuhusu watu kushambilia waleta mada. Kweli nyani haoni kalio lake.