MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,520
- 1,368
Inaonekana kuwa wewe ndio muflisi. na huna subira. Unachotakiwa ni kupinga wazo hilo lakini siyo kama unavyofanya bali ni kwa kuleta mfano wako mathalani wa yule aliye muadilifu (wa mfano) kutoka Mkoa huo huo ambao mwenzio amesema kuna fisadi wa kutupwa. Hoja Mzee!!!!!!!!!!!!Kuna baadhi ya maoni kutokana na uvundo na uozo wake wa hoja hayana haja hata kuyajibu, na ndio nilichoona kutoka kwa mwandishi wa hii mada. Je kesho atakuja na listi ya Mafisadi na Mikoa waliyotoka na kuelezea ni jinsi gani sehemu walizotoka zimechangia kwa wao kuwa mafisadi? Sidhani kama kuna uwiano wowote kati ya sehemu mtu aliyotoka na uwezo wake katika uongozi au umahiri wake katika ufisadi na ujambazi. Mwandishi wa hii hoja ni mufilisi kichwani.
May be UVIVU wao ndio umewaepusha .....JOKE......
Inaonekana kuwa wewe ndio muflisi. na huna subira. Unachotakiwa ni kupinga wazo hilo lakini siyo kama unavyofanya bali ni kwa kuleta mfano wako mathalani wa yule aliye muadilifu (wa mfano) kutoka Mkoa huo huo ambao mwenzio amesema kuna fisadi wa kutupwa. Hoja Mzee!!!!!!!!!!!!
The faltering foolhardy fallacies infectiously and irresponsibly invoked by these cantankerous and cancerous - not to mention preposterous - propositions personifies poorly packaged pugnacious pugilism sans pragmatic positions.
The bold buffoonery and stark small-mindedness, punctuated by poisonous propagations of potions of purposeless problematic politicking, clearly constitutes nauseating notions whose consumption can easily pose a remediless risk to our nurtured national security.
write english please!
cha ajabu katika hizi kesi za MAFISADI sijaona hata mtu au mwanasiasa mmoja wa Pwani aliyekamatwa au kufikishwa mahakamani
says alot about the so called waliosoma na wenye kujua kilakitu mnaowapigia debe from bara
In doldrums, I prefer dated Dickensian diction done with duly dedicated doggoned dadaism.
Grab a book or something.
YIKES!, what di you just say?
Yakhe tuelimishe.
Nikifursika kwa utovu-shughuli huhusudu lahaja ya Dickens ya zama iliyorogwa na msongo wa kujitoa katika ujuvi-shoto kishenzi.
Some of these do not belong in the Euclidean realm of the space-time continuum.I'm just shorting this byach.
In doldrums, I prefer dated Dickensian diction done with duly dedicated doggoned dadaism.
Grab a book or something.
Yakhe Mwiba , mbona sample space ya viongozi mahiri kwa upande wako ni finyu sana?Kipimo ,Salim Ahmed Salim,Dr.Omar Ali Juma (Marehemu), & Mzee wa Mikasi Mr.Shein ,Mkuu wa upinzani Bungeni Hamad Rashid na bila ya kumsahau Seif Sharif Hamad kwa wale waliosema niwataje wachache kutoka Pemba na wapo wengi tu ,Hivyo mnaweza kuwapima watu hao katika himaya zao za uongozi.
Unless you come up with scientific proof, no comment, pls. Mind you, no research, no right to empty your mindMawazo yenu please objectively and for the better future of our country ,lovely Tanzania.