Let's be fare to Masoko!! Masako alikuwa fare Mbaya!! Ila alikuwa na wasi kama final Matokeo Magamba Wangeshinda Ingeweza Mletea Shida!!
Kura za mwanzo CDM Masako alionesha uchangamfu sana hadi akasema watu wamechoka kudanganywa, vijana wanataka mabadiliko hawaogopi dola na vitisho. Ufoo Saro ndo alikuwa wa kwanza kutuma matokeo ambayo ccm inaongoza. Mzee Masako aliishiwa nguvu hadi nilikahisi atatiwa kibano
Haikupita muda akawa anatangaza matokeo amepanic, na kuchanganya matokeo. Nahisi simu ilipigwa studio, na mMsimamizi wa matangazo akawa amemuagiza afagilie ccm kuliko CDM
Kama uliangalia matangazo yake tangu awali jana utamtendea haki Masako
Ni kweli kabisaaa hakuegemea ccm, tena niliona alikuwa karibu anashindwa kujizuia kwa kuficha shauku yake cdm ilipotangazwa kushindwa kwenye kata fulani.Acha uongo. Masako alikuwa fair. Tena kama mtu ni kada wa CCM unaweza sema aliegemea CDM.
yahaya ni chadema damu'yaani pale alikuwa na mahasira ya kuibiwa kura'hata masako ni chadema piga ua'ile kazi wanayofanya siyo nyepesi kama mnavyofikiri'jifunzeni kusoma watu
hata mie jana jioni Masako aliniboa nikaachana kabisa na ITV, alikuwa anaweka kibesi kabisa pale CCM wakiwa wapo juu, mtangazaji anatakiwa awe neutral sio mpaka watu wakasirike
yahaya ni chadema damu'yaani pale alikuwa na mahasira ya kuibiwa kura'hata masako ni chadema piga ua'ile kazi wanayofanya siyo nyepesi kama mnavyofikiri'jifunzeni kusoma watu
Ooh kuficha mahaba alishindwahata mie jana jioni Masako aliniboa nikaachana kabisa na ITV, alikuwa anaweka kibesi kabisa pale CCM wakiwa wapo juu, mtangazaji anatakiwa awe neutral sio mpaka watu wakasirike