Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
Yaani wanajiona wajanja yet they worship 'mijambazi like Uhuru'..
Ab-Titchaz, uzeni sera zenu kwenye CORD, au hamna sera maana you have been there in government and done that? wakati huu hata lugari MP anakuwa mwenye nidhamu na muadilifu kwa kutumia ICC kama kinga.Kuna mtu kanichekesha kwa kusema Kenya inauwezekano wa kuitwa "Gangsters Paradise" baada ya kura.
Cheki hapa mfano....:becky:
President Uhuru Kenyatta...Wanted
Vice-President William Ruto...Wanted.
Governor Ferdinand Waititu...anayejulikana kwa kuanzisha vurugu na kupiga watu mawe. 'Embakasi style justice'
Senator Gideon Mbuvi Sonko....huyu nadhani mnafahamu ishu zake.
Kabogo...Zungu la Unga na tapeli mkuu...anashtuma za kumuua mwanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi
Mary Wambui...Zungu la Unga
Patia sisi habari zake Senator Gideon Mbuvi Sonko Ab-Titchaz
Mkuu,
huyu Sonko nimemfungulia nyuzi yake na vituko vyake vipo humo....:becky:
Nenda hapa.... https://www.jamiiforums.com/kenyan-...ts-bishop-wanjiru-vs-sonko-kazi-ipo-sasa.html
Swadaktaa.
Hapo mkuu Kabaridi ndio huwa unaniacha HOI! Sasa kama kundi la CORD ndilo lilisababisha mauaji 2008/2009 mbona hawaletewi hati ya mashitaka kutoka the Hague? Au wenyewe wataburuzwa KIBERA!!Ab-Titchaz, uzeni sera zenu kwenye CORD, au hamna sera maana you have been there in government and done that? wakati huu hata lugari MP anakuwa mwenye nidhamu na muadilifu kwa kutumia ICC kama kinga.Kile ambacho CORD kama muungano imeshindwa ni kutimiza na nidhamu. kudumaza nidhamu katika viongozi wake na anga za kisiasa ni mbinu ya kampeini ambayo CORD imetumia kuendesha kampeini zake. na husabbisha vifo kama ilivyofanya mwaka wa 2008/2009. mwenye "macho" haambiwi tazama!
Hapo mkuu Kabaridi ndio huwa unaniacha HOI! Sasa kama kundi la CORD ndilo lilisababisha mauaji 2008/2009 mbona hawaletewi hati ya mashitaka kutoka the Hague? Au wenyewe wataburuzwa KIBERA!!
[h=1]Poisoning scare as ICC official finds tablet in food[/h]
An ICC team visiting Kenya had a scare after a tablet was found in the food of one of its members.
Police are investigating the incident at the Jomo Kenyatta International Airport.
Mr Roach Purnell, the head of the International Criminal Courts Support Unit, was taking breakfast at the Kenya Airways lounge when he found a tablet in his food.
But police spokesman Eric Kiraithe on Tuesday said that even though they did not have all the facts, they were looking into the matter. We are reliably told that he served himself and this makes us doubt whether he was being targeted. It could be a case of corporate war or just a matter of hygiene, said Mr Kiraithe.
On noticing the tablet, Mr Purnell is said to have reported the matter to the management of the catering services company, which took the sample to a private analyst without informing the Kenyan airline.
The private analyst demanded Sh430,000 ($5,000) which the catering firm could not raise immediately, prompting the analyst to return the sample.
KQs head of catering Abdalla Masoud, who was tipped of the matter, informed the airlines head of security Swalleh Slim and the Kenya Airports Police Unit deputy CID boss Joseph Nganga.
Detectives from KAPU on Tuesday forwarded the tablet to the Government Chemist for analysis. However, some detectives said they were not sure whether the tablet forwarded was the original one.
Witnesses were still recording statements on Tuesday, but Mr Purnell, who flew to Amsterdam shortly thereafter, left without recording a statement.
source nation
Nyani Ngabu,Ticha vipi unadhani Sonko atambwaga Wanjiru?
Binafsi I'm rooting for him but don't ask me why :becky:
Hapo mkuu Kabaridi ndio huwa unaniacha HOI! Sasa kama kundi la CORD ndilo lilisababisha mauaji 2008/2009 mbona hawaletewi hati ya mashitaka kutoka the Hague? Au wenyewe wataburuzwa KIBERA!!
Nyani Ngabu,
Wanjiru is basing her hope to
win on the fact that yeye ni mkikuyu na pia mchungaji (whatever!..). Kura ya wakikuyu katika
jiji la Nairobi ni kubwa and if she is bale to bag that and then the Luos and Luhyas to vote
for her, then she is sailing home free!
Sonko on the other hand ni mkamba and he banks on that too. Hata hivyo his ace ni kwamba ni
'chali ya mtaa' and the majority unemployed youth will go for him man to man. I see you are
rooting for him bro and I wish him well japo his shenanigans ni too much. If the Bishop had not
entered into this foray, angechukua hii kitu kiualini sana lakini now we have a bruising battle in
the making.
Thats my take.
My bro fatal misconception!:doh::doh: Siasa za kenya zimekuwa kukuru kakara. Yaani NBi ni ya Bishop DR. wanjiru. Wanjiru angebaki kama mbunge wa starehe angenyakua kiuraisi ubunge huo. it is naive kutumaini kuwa Bishop atapata kura by basis of her tribe na kuwa wakikuyu ndio wengi. Hiyo ndio ilipotosha ruben ndolo mwaka wa 2008 kudhani kuwa uchaguzi makadara ungekuwa mteremko.
Hata hivyo hapo kwenye red naona hi ishu ya tribal lenses haitakoma hivi karibuni na inakata hata kwenye station ya reformers kama Ab-Titchaz na CORD yake!
Sonko atosha useneta. margaret asidinganye, asitarajie kupata Useneta kivyovyote vile. rekodi ya bishop starehe ukilinganisha ya sonko makadara ni duni.
Patia sisi habari zake Senator Gideon Mbuvi Sonko Ab-Titchaz